tulishawaambia tatizo ni picha tu .....ukipita sehemu kama tegeta,mbezi na mengineyo hayo ni maeneo makubwa sana tatizo hatuna picha.........Lol only by Tanzanian standards.....tembea in better countries like Kenya ujionee
Nyani haoni hii picha kwa siku umewai kosa kuirudia hapa?
uhahahhaha kisa kua the biggest ndio ulichoumia nothing else😀😀😀😀Nyani haoni hii picha kwa siku umewai kosa kuirudia hapa?
Kama hauna picha hakuna kitu, wacha kutuambia blah blah kazi yenyu tu ni mdomotulishawaambia tatizo ni picha tu .....ukipita sehemu kama tegeta,mbezi na mengineyo hayo ni maeneo makubwa sana tatizo hatuna picha.........
twajua nyie mshamaliza nairobi yote kwa aerial view zenye ubora sisi hata robo hatujawaonyesha......zikipatikana picha za hayo maeneo utaelewa namaanisha nini
Hiyo hawawezi thubutu hata kwa dawaKama we ni mwanaume fungua uzi wa surburb kati ya nairobi na dar tuone, kazi yenyu ni mdomo mingi
Hatuhitaji picha kutoka kwenu, Google earth katupea picha ya bure wala hatulipii. Tunajua hiyo Dar yenu kwa kuangalia tu images but Google earthtulishawaambia tatizo ni picha tu .....ukipita sehemu kama tegeta,mbezi na mengineyo hayo ni maeneo makubwa sana tatizo hatuna picha.........
twajua nyie mshamaliza nairobi yote kwa aerial view zenye ubora sisi hata robo hatujawaonyesha......zikipatikana picha za hayo maeneo utaelewa namaanisha nini
tunakuelewesha real fact nyie mshamaliza hapo hizo estate zenu aerial view zote mmemaliza na hamna kipya sisi vingi hatujavipost ila mlichobakisha ni sehemu halisi wanazoishi wakenya wengi.......Kama hauna picha hakuna kitu, wacha kutuambia blah blah kazi yenyu tu ni mdomo
Nilikuambia utie bidii. naona wewe mzuri sana kwa kufata maagizo
The last one is Greenpark Estate in Athi River. Nakumbuka kuna time mmoja wao alileta hiyo picha na kusema iko Dar
Hii Dar Mombasa itailemea vibaya sanahawa watu wa dar wanafaa watembee .....Dar hata nashuku kama inashindia mombasa city chochote
Na ndio nataka ufungue ya surburb kati dar na nairobi tuone izo estate zenyu hamjapost na mimi nikuletee zetu ambazo kwa akili yako zimeishatunakuelewesha real fact nyie mshamaliza hapo hizo estate zenu aerial view zote mmemaliza na hamna kipya sisi vingi hatujavipost ila mlichobakisha ni sehemu halisi wanazoishi wakenya wengi.......
mna estate ndogo sana za makazi hauwezi compare na dar hata siku moja
Usibashane na hawa watu, tangu nijue dar kuna 5* tatu pekee zingine ni guest house hua sibishani na wao, wanakuanga wazuri sana kwa kusifia dar na mdomo na picha za kurudia rudia za posta kila wakati hakuna lingine.
Mtanzania kwa kuongea hauiwezi mshinda, walikuwa wanakesha wakituambia dar ina hoteli mingi kushinda nairobi lakini 5* ni tatu pekee wakati nairobi ni 20 imagine ata kigali ina mingi kuwashinda ,na kama kama kuna mtu anabisha hili tufungue uzi twende moja moja hadi kielewekeHatuhitaji picha kutoka kwenu, Google earth katupea picha ya bure wala hatulipii. Tunajua hiyo Dar yenu kwa kuangalia tu images but Google earth
Na emoji za greentrue...daresalaam has nothing beyond the boring overposted cbd
point yangu ilikua ata nyinyi mnarudia rudia mapicha hapa kila saa alafuuhahahhaha kisa kua the biggest ndio ulichoumia nothing else😀😀😀😀
hehehe na huyo anaerudia kila siku??😀😀😀point yangu ilikua ata nyinyi mnarudia rudia mapicha hapa kila saa alafu
Ambia uyo mwenzako aache unafiki haoni wewe ukurudia picha za dar kila siku bt za nairobi zikirudiwa ata kimakosa juu mi nachukia kurudia picha anaanza kulialia