Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuwa mpole umepanic,,,,bila shaka yaelekea haujazaliwa nairobi......we niwaushago uliingia tao na malapa pia namfuko wa lnairon pembeni
 
elimu yenu ambayo ni useful imewasaidiaje kutoka kwenye msala wa ajira!!
Swala la ajira is a global problem ila swala la ldc isn't. Back to education matters, hiyo elimu yetu bora imetusaidia kuwa na uchumi kubwa kuliko yenu, it has helped us to have a bigger middle class than your country, it has helped us to have the highest number of professionals than any other country in this region, it has helped us to have one of the best universities in Africa, it has helped us to have the most important and advanced city in this region; Nairobi, it has helped us to have one of the most democratic consitutions in Africa, etc etc...I can go on and on
 
kweli kabisa afafanue
Zote ziko na watu tena yamejaa...either tenants au wanaonunua. Najua mnatishwa na apartments za Nairobi hadi mnashanga ni akina nani wanaishi ndani. Well, hiyo ndo desturi ya Nairobi. Huku utawahi ona swahili villages zile za Dar. next question pls
 
Kutoka LDC sio priority yetu maana Kenya mmetoka but still mpo mpo tu,njaa kila kona,maisha magumu mpaka mnaibiana.
 
Ameeen[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole bro nimegusa penyewe.
 
Msijetumia mwanya huu kuleta ndugu zenu huku,maana moja ya ndoto ya mkenya ktk maisha yake ni kuwa na free pass kuja tz,hata kenyata anatamani hiyo.
na hiyo kitu haiwezi kuwa.... maana jobless wakikenya watajazana sana
 
Zote ziko na watu tena yamejaa...either tenants au wanaonunua. Najua mnatishwa na apartments za Nairobi hadi mnashanga ni akina nani wanaishi ndani. Well, hiyo ndo desturi ya Nairobi. Huku utawahi ona swahili villages zile za Dar. next question pls
Hakuna sehemu mbaya tz kama kibera.
 
kuwa mpole umepanic,,,,bila shaka yaelekea haujazaliwa nairobi......we niwaushago uliingia tao na malapa pia namfuko wa lnairon pembeni
Wako wanaozaliwa Nairobi tena wengi sana ila hakuna mtu atakuambia eti kwao ni Nairobi. Never ever. Hata uende hadi wapi hutapata. Nairobi is a central place where people have come to work and do business. Wewe kama babu wa babu yako alizaliwa Dar then it just confirms my earlier senfiments that Dar us a glorified village. Huko mumejopata tu by coincidence ila hamuna umuhimu yeyote humo
 
tatizo unaongea ongea tu......hivyo vitu unavyozungumza ni vyakawaida sana........sehemu zote za dunia vipo ardhi yeyote ile yenye ukubwa wa heka nyingi ikiwa imenunuliwa na mtu mmoja au kampuni na ikiwa imepimwa lazima iwe bei yakufa juu vinginevyo iwe ya serikali ndiyo kidogo utapata kwa bei nafuu.......kilichotokea nairobi ni kwamba hiyo ardhi yenu asilimia kubwa imemilikiwa na watu wachache wakiwemo matajiri na wanasiasa ambao wanajiweza kwa corruption na kodi zenu na ardhi kuiuza bei waitakayo.....hivyo kwa mtu wakawaida kama wewe huwezi pata ardhi hata kidogo hizo story zakujenga ushago ni sababu tu unazileta zisizo na tija ila si kama haupendi kujenga nairobi kujenga unapenda sana tatizo hauna chapaa
 
hatuna kitu ila pesa za street beggars kutoka Tanzania kutuomba ziko
poa namimi nitakuja kuomba omba au vipi boss maana nyie ndiyo matajiri wenyewe wa hii dunia yabidi nitumie fursa.........ila huku hatuwataki ombaomba yeyote
 
Zote ziko na watu tena yamejaa...either tenants au wanaonunua. Najua mnatishwa na apartments za Nairobi hadi mnashanga ni akina nani wanaishi ndani. Well, hiyo ndo desturi ya Nairobi. Huku utawahi ona swahili villages zile za Dar. next question pls
kweli kabisa nairobi ni noma sana .........mnaishi kama mpo dubai.....[emoji2] [emoji2]
 
tukubaliane kwanza wewe ni bush men ..?...

ushago boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…