Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu nimegundua na hawa midanganyika ni kwamba hawajazoea apartment buildings which is a norm here in kenya, especially in bigger towns like Nairobi. Wakati unasikia mtu anasema Kayole na Huruma ni slums, nashangaa sana slums inamaanisha nini kwao coz in those estates 90% of houses are apartment buildings with self-contained rooms. Considering that wamezoea swahili shacks with rusty iron sheets which they proudly call dream houses, wanajaribu sana kupaka matope nyumba za Nairobi na kuziita slums wakati wengi wao hawawezi mudu kulipa kodi za nyumba kwenye hizo mitaa.
 
na kuna uwanja wa iringa wa samora umefanyiwa marekebisho makubwa sana natafuta picha zake niwaletee hawa kunguni alf wafananishe na ule uwanja wa mbuzi machakos๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wanavituko
 
the third story of dam burst
wapi mulikosea wakenya๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

 
Wewe saa zingine unatia huruma sana...sasa unatuletea uwanja wa artificial turf unaona ni maendeleo sana!? hehehe wah!
 
Acha ujinga,aliyekudanganya gharama za maisha nai inaizidi dar ni Nani???kama unazungumzia estate hujakosea,sababu watu wengi hapo ni masikini mmepanga.
 
ha haaa........unaleta story zakupanga mimi nilijua kujennga ......
hivyo ni dhahiri yaonyesha vile brain yako inavyothink yaani unawaza kupanga kwenye estate huku wenzako tunafikra kujenga.....

brain yako kifikra ipo dig sana......jiongeze mazee[emoji2] [emoji2]
 
Wewe saa zingine unatia huruma sana...sasa unatuletea uwanja wa artificial turf unaona ni maendeleo sana!? hehehe wah!
wakwenu kama huo uko???? au ndo ule machakos
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
tafuta uwanja kama huu nje ya nairobi ukipata nitag
 
elewa unachoambiwa hayo maeneo hayana uswazi kuna maeneo ambayo yapo na uswazi ila siyo hayo....ungekuwa mtembeaji ungetembezwa hapo ungebaki mpole.......maana fikra zako zipo kudhoto
Na wewe pia ungekuwa mtembeaji haungesema kayole au Huruma ni slums. Huko kuna self-contained houses ambazo wewe huwezi afford kulipa rent
 
Wengine upuuzi iko ndani ktk DNA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ