Hapa si kayole jingaiii....ebwana eeeeeeehhh!!!kwa hiyo hii ni tofauti na kibera???
hio ni kayole heheh kuna slum hazipungui 30 nairobi na zote ni heavyebwana eeeeeeehhh!!!kwa hiyo hii ni tofauti na kibera???
alikua anasema kayole sio slum nilicheka sana ππyaani vile vibanda vya mabati ndo vimechukua eneo lote hilo??
halafu huyo jamaa ajitambui eti rent ya hayo mabanda huwezi afford!!kweli chizi hajijui kuwa ye ni chizi..
kunishinda nn ww history ya dar na capetown unazijua vzr????πππWe umeonyesha kukataa kuelewa kwasababu yashakushinda! Endelea tu na mambo mengine....
acha hasira heheh ππππuswazi kila mahali...ata ujenge kitu mzuri inazungukwa na uswazi kando
jamaa kuna vitu haamini machoni mwake,,,nimegundua kuwa kuna baadhi ya wakenya ni wapuuzi yaani wanafikiri hii dar ipo ipo tu na wanahisi kuwa mazingira mazuri hayapo.....acha hasira heheh ππππ
kumerust sana....iyo apartment imezungukwa na shantieshizo sehemu hakuna uswazi hata moja ni sehemu ambazo zipo kwenye mpangilio wa mitaa nikupo poa sana......nawatu wanaoishi hayo maeneo niwananchi wakawaida.....
Hapa ni Huruma stop posting Photos of kibera in every area saying Nairobi is fool of slums semeni UKWELI si Kujiweka Juu ni kumbe nyinyi ndio The Big Dar is slumhio ni kayole heheh kuna slum hazipungui 30 nairobi na zote ni heavy
Mbona ni dar tu...kila mahali ni uswazi...ujenge nyumba poa lakini majirani wako na mauswazi....iyo ata Kampala huwezi patajamaa kuna vitu haamini machoni mwake,,,nimegundua kuwa kuna baadhi ya wakenya ni wapuuzi yaani wanafikiri hii dar ipo ipo tu na wanahisi kuwa mazingira mazuri hayapo.....
uswazi unamaanisha nn hebu eleza uelewekeMbona ni dar tu...kila mahali ni uswazi...ujenge nyumba poa lakini majirani wako na mauswazi....iyo ata Kampala huwezi pata
ndio unavotudanganya leo hehehhe πππHapa ni Huruma stop posting Photos of kibera in every area saying Nairobi is fool of slums semeni UKWELI si Kujiweka Juu ni kumbe nyinyi ndio The Big Dar is slumView attachment 786438View attachment 786439View attachment 786440View attachment 786441View attachment 786442
Next Time Ukiongelea slums please put the real pictures Kibera sio Nairobi yote Eastlands sio Ghetto yote so Usitudanganye Na haujui Nairobi..kayole nairobi
kayole hioπππππ
We sikulaumu Nalaumu inchi yako why don't you take a bus Ufike kayole?? Infact Rent ya kayole huwezi Lila & by the way Kibra pia sidhani INAWEZA bei... Ujue kuna Kibera na Kibra...ndio unavotudanganya leo hehehhe πππ
kayole ni slum na itabaki kua slum na kama unabisha nakushishia video kama 6 sasa hvi hapa
hahahhha leo umelia sana ππππWe sikulaumu Nalaumu inchi yako why don't you take a bus Ufike kayole?? Infact Rent ya kayole huwezi Lila & by the way Kibra pia sidhani INAWEZA bei... Ujue kuna Kibera na Kibra...
We unajua kayole kweli?alikua anasema kayole sio slum nilicheka sana ππ