Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiko kipande cha chini sasa hapo ni. dar hapo umepatia......hilo eneo linaitwa manzese ni sehemu ambayo wanaishi watu wakipato cha chini.....na ukishuka hapo ukitembezwa chini hautoamini unachokiona.....maana kuna mitaa kama kawaida...

Najua hiyo umeogopa kukana maana tutakushika na hiyo BRT. Ila najua hata wewe mwenyewe unajua hizo picha zote ni za Dar na hivyo ndivyo 90% ya Dar inavyokaa.
 
Najua hiyo umeogopa kukana maana tutakushika na hiyo BRT. Ila najua hata wewe mwenyewe unajua hizo picha zote ni za Dar na hivyo ndivyo 90% ya Dar inavyokaa.
I was going to say the same thing (hiyo y brt). Hakuna vile angekataa hiyo. Si unaona hizo picha zingine mbili amekana si Dar
 
Najua hiyo umeogopa kukana maana tutakushika na hiyo BRT. Ila najua hata wewe mwenyewe unajua hizo picha zote ni za Dar na hivyo ndivyo 90% ya Dar inavyokaa.
wapi utapata dar udongo mwekundu hehehe aisee πŸ˜€πŸ˜€ kweli maji yamewakaa shingoni
 
nimeomba kuoneshwa ofisi za jubilee nje ya nairobi mpaka sasa sijapata majibuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

wakati nimeomba kuoneshwa uwanja kama huu nje ya nairobi nilioneshwa uwanja sehemu mbuzi wanakula majani kule machakos nilicheka sana
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›



dodoma ofisi za ccm




ofisi za ccm mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…