Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona kila kitu kinakuja TZ ujue mambo yanaeda vizuri.
 
hili tatizo hata mimi nimeliona wakenya tunaojadiliana nao humu hawajawahi kutoka nje ya Kenya!!
Afadhali sisi hatujatoka nje ya Kenya, wewe hujatoka nje ya mbagala
 
Wewe dar itakuua kwa mfadhaiko.

Yaani the way unaitaja Mara tatu tatu katika post moja,inaonyesha mzimu wake unakuandama.
 
kwa mara ya kwanza umekua mkweli!! I noticed and respect that!
ukweli wa nn??? ikiwa ukweli huutaki unategemea kupata uongo na tatizo hili la kujiona mumekua kama europe litawaathiri mpaka mwisho wa duniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
anafanabisha nairobi na casablanca wao wenzao wanatumia electric bullet train wakenya wanatumia train zilitumika 50s alaf wanataka washindaneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimecheka sana
 
18+ - Dear Kenyans, I really need to a marry a Kenyan. Anyone ready to settle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…