kuelewa ni hiari sio lazima๐๐๐๐Haya bhana... Unavunga huelewi swali..๐
Haina shida, siku ukinionyesha uhusiano kati ya ukubwa wa eneo na maendeleo ntakusikiliza, saivi ngoja nikupuuzie tu.
punguza mapepo kijana.........bado mdogo hujui maisha unadhani utamjulia wapi[emoji2] [emoji2]Your stupidity has drawn my attention.. Aty Asha?? Huyo hajulikani labda KIJIJINI kwenyu... BTW KENYA IS THE FIRST COUNTRY IN AFRICA TO HAVE THE FIRST WOMAN TO WIN THE NOBLE PRIZE... [HASHTAG]#WANGARE[/HASHTAG] MATHAE... Hio ni kitu TZ hajawahi na haitawahi Tokea TZ... Not to mention Obama the 1st black President of USA na bado Lupita na WENGINE.. In international matters please Tanzanian Msijisumbue[emoji23] [emoji23]
yaani ni vituko.......hehehe yani hawa ni vituko tu alaf pamoja na ukubwa wa 696 km sq still forest area inside 696 km sq is big kuliko makazi ya watu
kweli kabisaichoboy ni kijana hodari sana wa mijadala hususani hii ya sisi watz vs wakenya.hakubari kushindwa.
anaendanao bumper to bumper licha ya mda mwingine wakenya kujaribu kumpunguza makali kwa kujaribu ku-attack personality yake. yeye hajari ana deal na issues zinazoikabili kenya.
kwa siku hizi ichoboy ndio member anayenifanya niwe najipa likizo ya kutopenda ku argue na wakenya mara kwa mara cos najua yupo askari mbadala anayetimiza majukumu niliyokuwa ninayatimiza siku za nyuma.
hongera sana ichoboy. taifa linatambua mchango wako. nina hakika wakuu watakuwa wanafatilia sana comment zako.
naiko mbele kwa nairobi piaUnaonyesha ni jinsi gani uko desperate na dar.
Kigali ni mji msafi mbele ya dar,na si kingine.
Turn around then kick your asss.
na hapa je๐๐๐๐๐
we ni hater...!!eti Kigali!!..we ushawahi kwenda Kigali kweli!??au umeishia kuona picha ambazo ni selective??Hata Kigali ni mji changa tena ngogo sana lakini unalendeza tena imeendelea kushinda hiki kjiji chenu mnalazimisha maendeleo yake kutumia kigezo cha ukubwa wa eneo
Tunis nayo ni city???a glorified village like Dar with shanties surrounding the city center haiwezi tuumiza kichwa. Sisi hapa Africa tunapambana na jo'burg, Lagos, Cairo, Tunis and such like cities. Nairobi is the most important city in this region so why should we care about a city still in diapers like Dar ambayo inatumia ukubwa wa eneo kama kigezo cha maendeleo? Number mtasoma kabisa
nilichogundua wakenya huwa wanakaa vijiweni halafu wanaongopeana wenyewe kwa wenyewe hasa wakenya wa jamiiforums,wanaishi korogocho,hawajawahi kwenda city yoyote nje ya Nairobi,๐๐๐๐ anajengewa gari moshi ya 50s alaf anataka kushindana na casablanca au cairo wakati casablanca wanatumia electic train with speed of 320km/hr
hili tatizo hata mimi nimeliona wakenya tunaojadiliana nao humu hawajawahi kutoka nje ya Kenya!!Huyu jamaa ajafika Kigali. Kigali hata ifikii Kampala nusu. Tuna deal na wakenya ambao hawasafiri nje ya Kenya.
Kushinda jamii forum na kushinda kuongea maneno yasio na msingi won't change a thing about Dar, a glorified fishing village surrounded by slums. Kulinganisha Nairobi na Dar ni kama kulinganisha giza na mwangaza; hakuna siku zitawahi kutana. Ask anyone which is the most important city in this region and they will tell you Nairobi. Yani kitu chochote cha maana ikikuja EA inatua kwanza Nairobi ndo inaanza safari ya kwendu shithole citiea like Dar. Jengeni jiji lenu badala ya kushinda humu mkipiga domo. Comparing Nairobi with craps like Dar is a downgrade on Nairobinilichogundua wakenya huwa wanakaa vijiweni halafu wanaongopeana wenyewe kwa wenyewe hasa wakenya wa jamiiforums,wanaishi korogocho,hawajawahi kwenda city yoyote nje ya Nairobi,
eti Nairobi inapambana na jo'burg!!hahaaahaa bwana mdogo anafurahisha sana..Mara ooohh Kigali sijui nini??