Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho p[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho point hapo ni nyazifa zakibabe siyo hizo takataka unazoziandika hapa hata hawajulikani......yaani nchi yenu mbali ya raisi wenu uhuru hakuna wengine wanaojulikana kimataifa.....

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu w[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho p[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho point hapo ni nyazifa zakibabe siyo hizo takataka unazoziandika hapa hata hawajulikani......yaani nchi yenu mbali ya raisi wenu uhuru hakuna wengine wanaojulikana kimataifa.....

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu za taasisi za kimataifa wakenya hamuwezi.......hamna baraka za haya mambo pia niwachanga sana

ASHA ROSE MIGIRO
Asha-Rose Migiro - Wikipedia
 
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
utakana vipi wakati ni ukweli
 
Nairobi is a beautiful city though very dirty especially at the city center and the people are very corrupt. Dar es Salaam on the other hand is very beautiful and is developing very fast. The city is clean, the people are united and there is peace. At least we Tanzanians have something to be proud of. God bless Tanzania.
 
Huu ndio unaita usafi? Wewe una akili timamu?
 
umeandika nini sasa hapa wewe.
 
ndio mufananishe na huu jamani hamuwezi kua serious hahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dah aibu hamuoni kuniekea upuuzi hapa
nimewauliza swali dogo tu hawa wakenya kuwa hiko kiwanja kipo kwenye ranked za fifa kuchezesha international mechi...?
 
dar developing very fast in terms of population and poverty.
kwenda na usirudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…