Naona wewe kidogo tunaweza kuwa na mature discussion. Kilichonifanya niulize ni kwa nini hamleti picha za mitaa mengine ni kwa sababu unapoleta picha za mitaa za wadosi, haileti taswira kamili ya eneo kwa sababu sote tunaelewa kwamba the gap between the rich and the poor in these two cities iko juu sana. ukileta picha ya mtaa wa kawaida kama Umoja, Donholm au Kasarani huku Nairobi, unaweza kutathmini hali ya maisha ya watu wa Nairobi kwa sababu mitaa kama hizi ndo hubeba asilimia kubwa ya wakaazi wa hizi miji. Lakini nikileta picha ya Spring valley, Muthaiga au Lavington, hapo nitakuwa sisemi ukweli. Yote tisa, mko na uwezo wa kupiga picha estates zenu jinsi tunavyofanya huku kwetu. Pengine interest ndio bado hamjakuwa nayosafi mkuu,,,,,ni hivi kiukweli dar ina maeneo megi kikubwa tulichokuwa tunajenga story na ichoboy ni kuhusu upigaji wa picha kwa aerial view kiukweli picha za hayo maeneo hatuna hata hizo picha ulizoziona nyingi ni video wameziscreen shoot ila real picture hatuna......ndiyo maana humu mkiomba aerial huwa hatutoi hiyo yote sababu maeneo mengi hatujayapiga picha kuna aerial view nyingi sana zipo vizuri kuna maeneo ya tegeta,mbezi,bunju,kigamboni namengineyo na nimakubwa sana yote yapo kimpangilio......
nilitaja hayo maeneo matatu ya mikocheni,oysterbay na masaki sababu........ninyi mmeyazoea hayo kuyajua kwa kuyataja ila kwa aerial view hayo maeneo hayana picha ambazo zipo quality na kuwapa taswira vizuri .....yote hayo maeneo hatujayatendea haki kwani hayana aerial view timirifu kwa upande wa picha
mfano hizo nyumba za gharama nafuu za national housing zote zipo kwenye muendemezo wa ujenzi nakupa mfano hizo video picture yaani hapo hatuna aerial view pic hata moja.....hizo pic zenyewe unazoziona ni ilikuwa vidroLusematic, picha za anga za masaki, oysterbay na Mikocheni zimeletwa hapa si haba. Kwanza za oysterbay ziko mingi sana humu. Niko na swali lakini; Mbona mnapenda sana kuleta picha za hizi mitaa? nauliza hivyo kwa sababu hata wewe naona hizo hizo mitaa ndio pia umetaja. Kwani Dar haina mitaa mengine ya kuleta picha za anga? Kwa uelewa wangu, I understand that oysterbay is a rich neighborhood where only the monied can afford to live. Mbona hamleti picha za mitaa za kawaida mahali mwanchi wa kawaida anaishi? Hizo mitaa mnaleta ni sawa na rich neighborhoods za Nairobi kama Muthaiga, Runda nk ambazo hatuleti humu ndani sana
huyo anakwambia habari ya tabia, watanzania sio wapigaji sana wapicha kama wakenya ila kwa sasa ndio tumeanza kupiga piga picha maeneo tofaut na still bado maeneo mengi hatujapata picha nyingi kama kule chanika ni mji mpya kigamboni mji mpya, etcNaona wewe kidogo tunaweza kuwa mature discussion. Kilichinifanya niulize ni kwa nuni hamleti picha za mitaa mengine ni kwa sababu unapoleta pucha za mitaa za wadosi, haileti taswira kamili la eneo kwa sababu sote tunaelewa kwa the gap between the rich and the poor in these two cities iko juu sana. ukileta picha ya mtaa wa kawaida kama Umoja, Donholm au Kasarani huku Nairobi, ubaweza kutarhmini hali ya maisha ya watu wa Nairobi kwa sababu mitaa kama hizi ndo hubeba asilimia kubwa ya wakaazi wa hizi miji. Lakini nikileta picha ya Spring valley, Muthaiga au Lavington, hapo nitakuwa sisemi ukweli. Yote tisa, mko na uwezo wa kupiga picha estates zenu jinsi tunavyofanya huku kwetu. Pengine interest ndio bado hamjakuwa nayo
tena hio ni miji mipya iko kibada, kigamboni,chanika, boko etcmfano hizo nyumba za gharama nafuu za national housing zote zipo kwenye muendemezo wa ujenzi nakupa mfano hizo video picture yaani hapo hatuna aerial view pic hata moja.....hizo pic zenyewe unazoziona ni ilikuwa vidroView attachment 784048View attachment 784049
hakuna anayekudanganya.......kimaisha dar inamaeneo ya uswazi na maeneo ya watu wakati pia matajiri............Dar tunaijua sana, thanks to Google earth. Sio lazima tungoje huyo jamaa wenu apige picha za estates mbili au tatu za matajiri kisha mjaze hapa. I only need to go to Google earth to see Dar in its nakedness. Nyngi mtatudanganta lakini Google earth haitawahi
Hii ni upanga west (united nation road) naoina shule ya Tambaza hapo kushoto.part of msasani
View attachment 783994
na hayo maeneo yote bado hatuna aerial view ,,,je tukipiga picha itakuwajetena hio ni miji mipya iko kibada, kigamboni,chanika, boko etc
huyo dar haijui vzr hehehe alaf hawa hua bado wanadhani ni ile dar ya 90sπππna hayo maeneo yote bado hatuna aerial view ,,,je tukipiga picha itakuwaje
Tuongelee mambo ya maendeleo, sio size. I don't have to tell you for the millionth time that size of a city or town us not an indication of its sophistication or development. Hata hapa Africa, Dar is bigger than cape town (400sqkm) yet cape town is a hundred times better than Dar in virtually everythingna siku zote nakufundisha hapa dar is the fastest developing city in africa yani maendeleo yalioko ndani ya dar ni makubwa kuliko nairobi mara tatu na ukubwa wa dar ni mara tatu ya nairobi, tatizo lako kukubaliana na ukweli hutaki ππππ
na tatizo lenu wakenya nikujifananisha na nchi za america or europe ndugu yangu america hawaongelei msaada wa chakua au njaa πππ wale wako mbele miaka 300
What's so special about that picture? such houses zimejaa kule maendo ya utawala, syokimau, Komarock. Yani yako kila mahalina unaeza amini hapa ni maeneo ya boko zaidi ya 40km from CBD lakini hatuna picha za kutosha kunanyumba za adabu vibaya sana
View attachment 784050 View attachment 784051
ndio maana nakwambia dar is the fastest developing city in africa my friend na huo ndio ukweli na most of developments in dar zimeanza with 10 yrs my friend lakini moto wake sio wa nchi hiiπππTuongelee mambo ya maendeleo, sio size. I don't have to tell you for the millionth time that size of a city or town us not an indication of its sophistication or development. Hata hapa Africa, Dar is bigger than cape town (400sqkm) yet cape town is a hundred times better than Dar in virtually everything
ndio nakuonesha miji mipya mingi sana dar hatuna pichaWhat's so special about that picture? such houses zimejaa kule maendo ya utawala, syokimau, Komarock. Yani yako kila mahali
capetown ni mji uliokaliwa na wazungu zaidi ya miaka 50 na wamejaa wazungu hapo na hawakuanza maendeleo leo wala jana na capetown has population 400k peopleTuongelee mambo ya maendeleo, sio size. I don't have to tell you for the millionth time that size of a city or town us not an indication of its sophistication or development. Hata hapa Africa, Dar is bigger than cape town (400sqkm) yet cape town is a hundred times better than Dar in virtually everything
πππππndio maana nakwambia dar is the fastest developing city in africa my friend na huo ndio ukweli na most of developments in dar zimeanza with 10 yrs my friend lakini moto wake sio wa nchi hiiπππ
bro una porojo sana leo aisee...hii insha nimekupa 9 out of 10πππcapetown ni mji uliokaliwa na wazungu zaidi ya miaka 50 na wamejaa wazungu hapo na hawakuanza maendeleo leo wala jana na capetown has population 400k people
south africa wamepewa uhuru 1992 kutoka kwa wazungu na still huo uchumi wao umeshikwa na wazungu na maendeleo yote yamefanywa na wazungu na mpaka leo kuna baadhi ya maeneo capetown akionekana mwafrika anapigwa risasi
hebu kua msomi mwenye malengo
ni kama vile kenya mmasai na ngombe wake wakionekana kwenye shamba ya mzungu settler wanapigwa risasi yeye masai pamoja na mifugo yake
hehehe kumbe nimefaulu broπππbro una porojo sana leo aisee...hii insha nimekupa 9 out of 10πππ
sasa wewe kilaza hako kakijiji kenu ni kakulinganisha na Nairobi?.......sababu 93% ya hako katown kenu ni majengo ya 4-8 floorkwamba wafikie hapaπππau sio
yani mutasugua gaga mpaka yesu anashuka
hio density kusanya CBD yenu kusanya upper hill kusanya westaland hapo sijagusa kariakoo
View attachment 783952 View attachment 783953