Achana na huyo...he will only drag you to his level of thinking. Anahisi maumivu sana kusikia majengo yote yatakuwa 30 floors kwenda juu. How I wish they also upgrade the hotel tower from the initial 43 floors. Crossing my fingersOffice liko 22-23flrs hapo, la hotel liko 13flrs hapo so ni aparments tu ndio kwa sasa ziko 30flrs
Achana na huyo...he will only drag you to his level of thinking. Anahisi maumivu sana kusikia majengo yote yatakuwa 30 floors kwenda juu. How I wish they also upgrade the hotel tower from the initial 43 floors. Crossing my fingers
mutasema mm namsingizia au??😀😀😀Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
sio 19, ni 28!! acording to Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotelsnairobi walker ni noma kazipeperusha hotel zote za kenya nakuzipa 5* makofi kwake jamani[emoji112] [emoji112]
19 five star hotels in nairobi[emoji2] [emoji2]
ni hilo tu hivyo vitu vingine ni vimeoSema tu umezikubali zote. Moyo inakubali lakini ulimi inakataa. Hiyo Boma huwezi hata linganisha na Sarova Stanley ama hata Radison Blue. Hapo sijataja Kempinsky au Sankara. Iko chini ya hizo zote in terms of luxury
hzo rates zinatoka kwa wakenya ryt??sio 19, ni 28!! acording to Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotels
Anayeleta ushindani w kijinga hapa ni wewe wala sio mtu mwingine. Aliposema zote zitakuwa 30 floors alimaanisha there's an upgrade hadi nikakuliza nini maana ya uograde ukashindwa kujibu. Kwa sasa, apartments which initially were supposed to reach 24 and 25 floors have already topped out at 30 floors. Hotel tower and office tower bado zinajengwa na kwa saa ziko 16th and 20th floors respectively if am not wrong. Nini ngumu hapo unashindwa kuelewa au ubishi na mashindano ndo unapenda?kasema majengo yote ya avic ni over 30 kwann nimsingizie 😀😀😀😀 kwan tunaushindani wakijinga hapa
kweli we jamaa ni hopeless,hauwezi kujadiliana hadi matusi??Sasa mmeanza kurudia madormitories za jana after kuwafila😀😀😀
nikamuuliza anauhakika majengo yote yatakua over 30floors au wewe kiswahili kigumu sana😀😀Anayeleta ushindani w kijinga hapa ni wewe wala sio mtu mwingine. Aliposema zote zitakuwa 30 floors alimaanisha there's an upgrade hadi nikakuliza nini maana ya uograde ukashindwa kujibu. Kwa sasa, apartments which initially were supposed to reach 24 and 25 floors have already topped out at 30 floors. Hotel tower and office tower bado zinajengwa na kwa saa ziko 16th and 20th floors respectively if am not wrong. Nini ngumu hapo unashindwa kuelewa au ubishi na mashindano ndo unapenda?
I think ulikuwa unataka anasema 'zitakuwa over 30 floors' badala ya "majengo yote over 30 floors". All the same, he did good by including the sentence "thanx for the upgrade". it doesn't have to take you a lot of time and effort to comprehend what he was trying to say.
kweli kabisa inabidi tupate japo raia wakufanya hayo mambo wenye camera zenye uwezo na ubora.alaf watanzania hatuna desturi za kupiga mapicha yani hatuna zile sifa sifa
nilijua 100.....[emoji112] [emoji112] [emoji112] ongezeni zizini mshangaze duniasio 19, ni 28!! acording to Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotels
ok tufanye yameisha lets wait and watch the game mpaka mwisho 😀😀😀😀I think ulikuwa unataka anasema 'zitakuwa over 30 floors' badala ya "majengo yote over 30 floors". All the same, he did good by including the sentence "thanx for the upgrade". it doesn't have to take you a lot of time and effort to comprehend what he was trying to say.
yupo moiz hussein mtanzania ameshinda tuzo ya african photographer of the year 2018 iliofanyika ghanakweli kabisa inabidi tupate japo raia wakufanya hayo mambo wenye camera zenye uwezo na ubora.
wafanye kupiga aerial view ya mikocheni,masaki na oyster bay tu japo najua itakuwa ni kazi ngumu kuyamaliza hayo maeneo kulingana na ukubwa hawa wakenya wabaki midomo wazi maana hawaelewi....
hizo sehemu tatu zawatosha maana tukiongeza nyingine watalia....kiukweli hatuna picha kabisa za aerial view angali maeneo yapo kibao yakutosha
Sasa kama hana uhakika angeleta hiyo taarifa? Haya basi, mimi niko na uhakika: All the six towers will be over 30 floors. Apartments which were initially suposed to be below 30 floors have already reached 30 floors. The upgrade is realnikamuuliza anauhakika majengo yote yatakua over 30floors au wewe kiswahili kigumu sana😀😀
nampata......inabidi afanye hili tukio aisee apige picha hayo maeneo......yupo moiz hussein mtanzania ameshinda tuzo ya african photographer of the year 2018 iliofanyika ghana
jamaa ni hatari picha zake hazina utata
acha umama!!nilijua 100.....[emoji112] [emoji112] [emoji112] ongezeni zizini mshangaze dunia
kwa hiyo we kukodi nyumba za wanaume wenzio unaona raha eeehh??huku bongo ni wewe na hela yako,unajenga nyumba yako unavyotaka,hakuna wa kukuuliza maswali..nyumba anajenga muzungu we mkenya mwenye nchi yako unakodi aahh kudadeki na huoni aibu kujisifia!!!Wewe ni bongolala kweli tena mwehu mkubwa sana! Hizo ni vitu vya kusifia kweli? Yani you could not see the satire in my statement! How pathetic!!!!
simple algorithm... kaka unaniangusha!!hzo rates zinatoka kwa wakenya ryt??