Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Landmark Mbezi Beach Hotel Dar es Salaam




Oneni huyu!!! Eti Mbezi beach ndio landmark ya Dar! Hahahahha....OMG, mbavu zangu zauma. Hivi, wewe unajua maana ya landmark kweli?
 
Oneni huyu!!! Eti Mbezi beach ndio landmark ya Dar! Hahahahha....OMG, mbavu zangu zauma. Hivi, wewe unajua maana ya landmark kweli?
Dawa naona imeanza kukuingia vizuri. Kwikwikwikwi.
 
Kumbe Dar hakuna hoteli.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Huwa naskia tu wakijisifu.
 
Ramada resort dar es salaam








Hii inafanana na hoteli fulani kule maeneo ya Ruiru mjini on your right ukielekea Thika town. Inaitwa Rainbow hotel kama sijakosea. Hoteli ya kawaida sana. nashangaa huko kweli linatajika
 
Rainbow Hotel Dar Es Salaam




 
Ramada Encore Dar Es Salaam








 
Hiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Watajuaje wakati wanaishi mbagala, tandale, mwananyamala? wakiona nyumba nzuri wanadhani ni hoteli.
 
Watajuaje wakati wanaishi mbagala, tandale, mwananyamala? wakiona nyumba nzuri wanadhani ni hoteli.
Kila mara wananiambia humu twende moja kwa moja Dar na Nairobi hata ongeza Mombasa na Kisumu na Nakuru hadi nadhani Dar kuna hoteli kumbe wapi. Yani kuna five star hotel nyingi sijapost na majamaa washaanza kupost Kula Raha Kibandaski.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hong Kong Hotel Dar Es Salaam




 
Hizi ndio hoteli naskianga mkichocha eti Dar kuna hoteli?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Hamna tofauti na zile brothel za River Road

Fairview hotel Nairobi
Maneno mengi sana. Vihoyel vyenyewe kama motel. Hahahaha!! Nairobi Old Desgins
Mnachekesha kabisa vijana. Ngoja leo niwakomeshe. Kwikwikwikwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ