Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uhaha nakutaftie picha za hapo hapo kijichi ni eneo kubwa sana tena sana 😀😀😀 ndio maana nilikwambia ww dar huijui unaisikia tu hapa ila huijui haya kaa mkao wa kunyolewa sasa😛😎😛
 
Umetembea hio mitaa ukaona hamna public places? Umeambiwa magomeni,ilala,temeke hamna public places? No decent houses ushafika hio mitaa au una google picha tu? Kuna tofauti ya kuona picha na kuona kwa macho ukiwa hapo mtaani. Tembeeni muone. Hapo chini nakuwekea typical UK street for working class population, nyumbani zimebanana mwanzo mpaka mwisho wa mtaa. Je kwa kutazama picha hio tu utaita Slum?
 
natural blue water pool in Ngare Ndare forest.



Nakuru highway cutting across Kinale Forest


nakuru

kenyan coast




 
Hizi karibu zinafanana na za Kenya lakini za bongo la! Za Bongo ni slum. Utakua mwhu kufananisha mtaa kama huo na huu uchafu hapa.😀😀😀😀
 
huyo bogus achana nae haijui vzr dar na siku zote yeye ni mtu wakulia lia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…