Lazima tu ungeeka picha ya the three blue buildingsππ
kizuri cha jiuza.hawachezi 50meters away from those shiny buildings πππ
Unajua fika anachouza Dada yako ila unjifanya hujui.Cha ajabu ni kwamba wengine wanauza njugu karanga zilizooza kwenye streets na tunatuletewa picha mimlioni moja tuone walivyo wabunifu!
Nairobi street photoNataka ulete Street Photo toka Nairobi kama hapa:
Dar es salaam
Kwa hivyo leo KICC iko UAE? Coz in one of the pictures I van clearly see KICC, vipi tena unasema katoa picha UAE na SA?Ivi we jamaa hushtuki tu? Hakuna mtu ahangaika na post zako, kila siku wewe wafamba tu ona sasa waleta gari za UAE, SA zingine cjui za wapi, no research no right to speak
Ai ai ai Aston Martin. Huyu amemaliza hii compe.Aston Martin
View attachment 779783
Haha jamaa unalia sana. Wewe ndio ulianza debate ya comedians sasa umeanza kutoa machozi. Siku nyingine usiwahi post vipicha vya magari vya wasanii wenu, kama hutaki kulia tena ichoboynilie nn unatuletea danganya toto hapa mkizidiwa tu munaanza leta danganya totoππππ
Wachana nao. Kwa malls we have too many of them. Infact we have excess mall capacity. Don't waste your time with them. They are still at the excitement stage.OH PLEASE,MNANYOOSHA NANI?
GALLERIA
the hub
garden city
sarit centre
village market
nextgen
Ichoboy wacha mchezo. Hio ni kibanda cha mama ntilie ama ni mall?
Hii barabara ipo kwenye matengenezo. Mkandarasi alikuwa amesimamishwa kutokana nakwenda polepole kutekeleza ujenzi
Mbona Jokate Mwegelo anakaa mpole mpole hivi? Lakini amenivutia na hio sura innocent. Lakini najua kitandani anazingua kweli. ππHahaha kijana mbona unakimbia kimbia
1. Hamissa Mobetto
Tunda Sebastian
Jokate Mwegelo
Wema Sepetu
Faiza Ally
Na wengine wengi tu rafiki
Nie wenye mojaππ Who doesnt know that Nairobi is a city of one tower ? ππ±Buildings tatu?ππππ