Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ni ka mji kadogo tu kanaweza kulingana na masaki ya jiji kubwa afrika mashariki na kati 'DSM'
 
haya niambie hapo jengo gani linaelekea 30πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ iko wapi inaelekea 30 kwann siku zote unakua mpuuzi wewe

jengo liko 15floors unaniambia linaelekea 30 we akili yako iko sawa kweli????
Wewe ni kama unavuta bangi...hapana, haijafika hata hiyo 15 unasema. Iko 5 floors
 
Acha ujinga wako!!. Hapa tupo na battle Dar vs Nairobi.
Ukiishiwa pumzi usilete maneno ya kipuuzi yasiyo na maana.
Nimekuuliza swali unaruka ruka tu kama chura.
Supa dip lensπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
AVIC yenu ilianza lini na inaisha lini?
Avic May 2015 - Ujenzi haujaanza


March 2016 - Excavation began


January 2017


April 2018


Yaani within 2 years Avic imetoka from nothing to 30 floors yet ni skyscrapers while hivyo vimbilikimo vyenu kuanzia 2016 bado vipo 4 floors? Wewe acha kulinganisha dhahabu na tope.
 
Jibu swali lini mnamaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…