Hilo kusema ukweli halipiti mita 140 liko too short banaIyo sio mzizima ni PPF tower...isiishe mwaka huu vp wakat kila kitu kinaenda sawasawa...ujenzi unaendelea...
Btw umeona jumba lilivyokubwa umeshtuka[emoji54]Don't worry buda
Usijifanye mjuaji wa maneno "mingi" wakati ulichapia hivi;Neither...nor, is a negative conjunction.
Neither indicates that two ideas are joined together. I'm sure have answered you.
There are numerous countries that speak English in parliament but they are not British nor Britons
Hiyo "?" kuna maneno niliweka nikayafuta, ikasalia "?" hata hivyo nilishaiondoa.Now you, what are the uses of a question mark ?
Story Za kipuuzi hizi...sema wacha nikuelewe maana unaongea shuduMalls si kitu ya kuzungumzia huku Nairobi; they are everywhere. Huku karibu kila estate iko na mall. My estate alone has two malls. Nashangaa sana watanzania bado wanazumgumza mambo ya malls. Huko tulitoka kitambo. There's already an oversupply of malls in Nairobi hata wanafaa waache kuzijenga
Sasa mbona unadangaya mcha ni sita alafu 18flrs bt liko on hold tangu 2016 magufuli aingie mmadarakani...18floors bwege we ziko 11 towers with 18floors
usinitendee hivyo...naomba unifunze,,,ujue wewe ni boss mkuu karibia naorobi nzima na africa inakutambua ......nifunze mkuuSina time yako kijana wa tanganyika. I know where you are heading. The first one is Windsor Golf and Country club, owned by the late John Michuki a former minister in the Kibaki administration. The second one is Muthaiga Golf Club, not sure about its ownership.
NimechekaHamna winch lakuuplift izo niaje? Kwa style iyo watasubiri sana
mmeanza upumbavu wenu wakuongelea nchi nyingine. Go back to Naira land. Niujinga Kenya kushindana na Nigeria au SA. You are big fools Kenyans. Mnaongeaga ujinga hadi mtu unaishia kucheka.Dah jaribu kwenda uko ile matusi utapata hasaa kwa wanigeria usitake kuona, wanasema ati east africa ndio the poorest region in africa ati hadi wanaweza tu colonise...unajiribu kuwaskiza gdp yao kubwa ni ua mafuta lakini wapi wakutroll hadi wanakushinda juu wako wengi sanaaa kwa izo forum zao, lakini ukweli lagos ni slum, accra ni kijiji, sasa labda Abidjan Lakini ni ya kulinganisha na Khartoum na adisababa
hilo jengo linafanana na sura ya papa majini
Sio siri ata daresalam iko mbele ya lagos na mbali lakini hao wapuzi jaribu kuwambia ivo ile mitusi utapata ni noma, kazi yao nikushangilia gdp yao Kubwa ya mafuta.... Hivi jiulize nchi ambayo iko na population ya 200mn people ati uzazalishaji wa umeme ni 3500mw alafu wanaiimba uchumi mkubwa saa zile africa kusini wako 50000mw na bado hautoshi???mmeanza upumbavu wenu wakuongelea nchi nyingine. God back to Naira land. Niujinga Kenya kushindana na Nigeria au SA. You are big fools Kenyans.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni vituko vya mwaka sijawahi ona hii kitu ya ya kamba wanayotumia.....sikuwa makini kabisa na hiyo picha siyo siri nimecheka sanaHamna winch lakuuplift izo niaje? Kwa style iyo watasubiri sana
What do Tanzanians know about architecture?Design za kizamani kabisa. Jengo kama kibuyu!!!
Asante kwa maoni yako ila ya wengine ni tofautiπππhilo jengo linafanana na sura ya papa majini
hapo kidogo nakuunga mkono kwa hiyo hoja........ila kwa ushauri mngewaacha tu waandelee na mambo sisi huku tuendelee na utani wetu wajadi wakuzipa hasira serikali zetu ili ziendelee kupambana zaidi maana humu hadi wakuu wa nchi wanaoitia wanapata maoni tofauti tofauti kazi ni kwao kuyabeba mazuri nakuyafanyia kaziSio siri ata daresalam iko mbele ya lagos na mbali lakini hao wapuzi jaribu kuwambia ivo ile mitusi utapata ni noma, kazi yao nikushangilia gdp yao Kubwa ya mafuta.... Hivi jiulize nchi ambayo iko na population ya 200mn people ati uzazalishaji wa umeme ni 3500mw alafu wanaiimba uchumi mkubwa saa zile africa kusini wako 50000mw na bado hautoshi???
Wakilofungua rasmi tutafaham official height...ilo jengo ata ukiwa pugu unaliona ni refu Yaani are ukiwa goba unaliona ohoooHilo kusema ukweli halipiti mita 140 liko too short bana
Happy belated mamas day...unamambo Za kimama sana...sijawah bisha kuhusu flr count Za iyo nyumba...kama ni 35flr sijawah sema ni 25 au 40...picha iyo kuhesabu huwez si uvute tuUnatusumbua kijana. Wenzako washakubali lina 35 floors wewe bado unakataa! Uko na shida gani? Huko tulishatoka. Acha kulazimisha punda awe punda milia
Nigeria hawako serious kwel[emoji23][emoji23]Sio siri ata daresalam iko mbele ya lagos na mbali lakini hao wapuzi jaribu kuwambia ivo ile mitusi utapata ni noma, kazi yao nikushangilia gdp yao Kubwa ya mafuta.... Hivi jiulize nchi ambayo iko na population ya 200mn people ati uzazalishaji wa umeme ni 3500mw alafu wanaiimba uchumi mkubwa saa zile africa kusini wako 50000mw na bado hautoshi???
Ombeni mechi ya kirafiki muone tutakacho wafanya. Kenya nyie ni watoto kwetu kwa mambo haya
That comedian from Tanzania the whole money he has is from the paying off Tanzania's comedy and that mansion up there as you can seeSasa eti nyinyi pia mna wachekeshaji? Comedy industry yenu is non-existent πππ
My friend "not" can be used in absence of " neither" and you can't use the two words together to join statements. Since they function the same I have decided to use "not...nor" cause you can't use " or" together with "not" since "or" is positive but my sentence is negative. Hope hujifunzi kingereza kutoka kwanguπππ... And if it's not true then tia bidii ππUsijifanye mjuaji wa maneno "mingi" wakati ulichapia hivi;
Hiyo "?" kuna maneno niliweka nikayafuta, ikasalia "?" hata hivyo nilishaiondoa.
tuoneshe ambayo imefika 30floor nasubiria hapaWewe bado uko kwa 15 wakati the tallest inaelekea 30! Utashangaa sana