Dar Hata nipelekwe Kama nimefungwa macho siezi potea.... Nainua tu kichwa naona hizo buildings tatu za blue alafu nimefika tao... Kariokoo ni kukimbia 2 mbio straight alafu imeisha... Niko townWhat do you mean by being empty? Wewe ukiangushwa hapo Kilimani utatembea siku mzima ukitafuta njia ya kurudi town. Unafikiri hii ni ile Dar yenu iliyo na nyumba za gable everywhere zenye mabati zilizoparara na kuchanika? Huu mji umepangika babaa
Hamna mtz ambae akitaka kucheka ni hadi aje Kenya. ..hao wanaowachekesha Kenya sasa wanatuhusu nn sisiSasa eti nyinyi pia mna wachekeshaji? Comedy industry yenu is non-existent 😀😀😀
Agh... Nimesahau we ni mshamba.... Pole... NAIROBI Hatuongei kiswahili ni sheng so KAMA HUELEWI BAS UMELEWA... LAMBA LOLO BRATHEAndika kingereza, kisw kibovu kama mavi
Haha Nai utaona nn misitu na matatuDar Hata nipelekwe Kama nimefungwa macho siezi potea.... Nainua tu kichwa naona hizo buildings tatu za blue alafu nimefika tao... Kariokoo ni kukimbia 2 mbio straight alafu imeisha... Niko town
Mm na wewe mshamba nani?Agh... Nimesahau we ni mshamba.... Pole... NAIROBI Hatuongei kiswahili ni sheng so KAMA HUELEWI BAS UMELEWA... LAMBA LOLO BRATHE
Wewe unajua Paris ni nini? Tabia mbaya sanaAcheni kufananish DSM na uchafu hili jiji n la kufananisha na parisView attachment 778137
Bila kusahau PPF building 35,14,9flrMwaka huu Dar inaongeza nyumba mpya kadhaa kma ifuatavyo
1.Mzizima towers A&B 35,33 flr respectively
2.MNF A&B 30flr each
3.Morroco square 22,20,17,13 flr ,Mall
4.Palm village Mall,hotel and residency building
5.Sky tower 22 flr
.....
hizo zote, nakupatia Avic Towers peke yakeBila kusahau PPF building 35,14,9flr
Neverhizo zote, nakupatia Avic Towers peke yake
huna jambo........[emoji2] [emoji2]jipe shughli chokosh
mmekuwa wafugaji samaki
niko poahuna jambo........[emoji2] [emoji2]
Sasa tulikiwa tunabishana kwa nini juzi eti kama ppf ni 40 floors au ni 35 floors? Hebu muambie ichoboy aje ajionee mtanzania mwenzake amekubali ppf ni 35 floors. Wololo yayeBila kusahau PPF building 35,14,9flr
snake zone[emoji2] [emoji2]
tisha sana wanadhani kujenga visix lane hatuwezi ...wakati tunajenga vitu moto zaidi ya 6 lane hapo ilipo pia ni 6lane tosha yaani nne 2lane na mbili brt huvyo tumewadouble...
Two rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.Mwaka huu katika Retail space tumeongeza 75000sqm all in Dar
Aura 15ksqm,morroco 20ksqm,Palm village 15ksqm ,Mall along Nyerere road 25000sqm...
I think now we need one Mega Mall in Dar
tunawanunishaji....Sasa eti nyinyi pia mna wachekeshaji? Comedy industry yenu is non-existent 😀😀😀