Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kitu umeniandikia hata haimake sense, "Tra" ni nini kwa kiswahili😀😀😀
Haina maana ni sawa na uandike FIAT kiswahili inatamkwa FIATI.

Ukiniuliza nini maana ya FIATI nitakwambia hilo ni jina la kampuni ya kuunda malori.
 
KENYA KILA. MTU NI HUSTLER HATA KAMA UNAISHI RUNDA AU KIBERA WHITE OR BLACK WE DONT WORSHIP WHITE PEOPLE IN THE NAME OF UJAMAA HATUPENDI UZEMBE SISI[emoji12] [emoji12]

Life in Runda is good, almost heavenly, but that did not stop Italian girl Lucia Alessandra Murotto from taking up a job as a makanga in Kitengela.

 
Haina maana ni sawa na uandike FIAT kiswahili inatamkwa FIATI.

Ukiniuliza nini maana ya FIATI nitakwambia hilo ni jina la kampuni ya kuunda malori.
Umenifurahisha leo😀😀😀... You should be a comedian
 
Tunaenda hivyo kama ilivyokuwa katika music industry mpaka sasa hammjui imekuwaje.

Eti akothee naye ni music icon in Kenya.poa[emoji4] [emoji4] [emoji4] jiandae kisaikolojia huko ktk mpira.
yaani hata simuelewagi yule mdada wakikenya yaani anaforce game
 
hizo tunawachia toddler humu...we dont participate in mediocre tournaments
TZ ipo so talented.......chief sema kwenye huu mpira wa miguu hatujaamua tu kutilia mkazo laiti tukitilia mkazo .....hata timu kongwe ya taifa ingekuwa inasumbua sana kidunia
 
Kwikwikwi
Show me tallest building iliyopo kenya inazidi
TPA Tower. Weka picha hahahahaha!!
Wacha ignorance buda. Kwa tallest buildings, toka huko haraka. Huko hakuna debate. Kila mtu anajua nani anazo buildings ndefu.Uliza ndugu yako ichoboy atakueleza.
 
Wewe unaongea vibaya na hamko ligi ya Kenya. Si mngoje mfike middle income ndio muanze kuongea matope.
Hatujawahi kuwaza kuwa ligi moja na Kenya,haiwezi kuwa mfano kwetu kwa chochote.

Labda kuapisha maraisi wawili kwa wakati mmoja.
 
Wacha ignorance buda. Kwa tallest buildings, toka huko haraka. Huko hakuna debate. Kila mtu anajua nani anazo buildings ndefu.Uliza ndugu yako ichoboy atakueleza.
Weka picha
 
So kigezo cha matumizi ya internet ni how many t.v apps are downloaded? Go back to class one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…