Best sababu ya nn? Izo road mbona tunazokila mahalThe best road in Tanzagiza... how many kilometres please? 😀😀
Povu wapi? Maana hapa tupo kwenye Battle.Povu
Povu wapi? Maana hapa tupo kwenye Battle.
Wewe tuoneshe hayo mambo kama kweli unajiamini na Nairobi yako.
Majengo bongo yapo mengi mno tukianza kuweka moja moja inaweza ikafika mwaka 2100 hatujayamaliza
Mf:
MG Apartment in DSM
![]()
![]()
![]()
Yaani ukitaka kuongelea mambo haya Dar yamejaa kila kona. Labda wewe mgeni kwenye hii thread.
Mf:
AVIC TOWN
![]()
![]()
Naona umeanza kuishiwa point sasa. Nimekueleza ulete mambo niliyoyataja umeanza kujificha ficha tu kama mtotoHii nayo mmeipost hapa mara elfu kumi.😀😀😀😀😀