Mzee kama anataka tram apandishe mishahara kwanza[emoji23][emoji23] haiwezekan amalize yote hayo bado tunasalary za zamanPia kuna swala la Tram, light rail jijini Dar es salaam.
unijibu swali nje ya nairobi iko wapi conventional centerππππππUNASEMA KAMA MKO NAZO MAJIJI ZOTE
TPA 40 fl andamana sasaππππSimtaki dadako maana kiatu. Ninachotaka ni jengo lenu lenye 40 floors. Nionyeshe nangoja.ππππ
MKO NA NGAPI NYIEunijibu swali nje ya nairobi iko wapi conventional centerππππππ
[emoji23] [emoji23]is that conventional center??? sina hakika kama akili yako iko sawasawa
hehheeh umeshindwa kunionesha conventional center out of nairobiππππππMKO NA NGAPI NYIE
hehehe huyo jamaa kilaza naona kakosa conventional center out of nairobi ananiletea utumbo wa bataππ[emoji23] [emoji23]
tafuta conventional center out of nairobi unitagπMKO NA NGAPI NYIE
TPA ni 35 floors hiyo tulishamaliza. Niletee jengo la 40 floors jamaa.πππ
Ushamba..coference centres kenya unadhani ni moja lolukipata nitag plz
onyesha na barabara yenye matatu tuone, hapana chezea mwendo kasi wewe!MKO NA NGAPI NYIE
nairobi tu hakuna nje ya nairobiπππUshamba..coference centres kenya unadhani ni moja lol
go on dreaming TPA itakuumizeni sana kichwa sio level yenu ile 40Fl buildingππππTPA ni 35 floors hiyo tulishamaliza. Niletee jengo la 40 floors jamaa.πππ
Nipe jengo la 40 floors buda. Achana na mbilikimo wa 35 floors. ππππgo on dreaming TPA itakuumizeni sana kichwa sio level yenu ile 40Fl buildingππππ
ipi ile BRT onlyππππkituko cha mwakaonyesha na barabara yenye matatu tuone, hapana chezea mwendo kasi wewe!
na wenzako wanaosema 36 πππ munabishana na kuumia kisa TPA kua na 40flNipe jengo la 40 floors buda. Achana na mbilikimo wa 35 floors. ππππ
onyesha na barabara yenye matatu tuone, hapana chezea mwendo kasi wewe!
Mimi nimetoa information Right from the architect. Tazama video.ππππna wenzako wanaosema 36 πππ munabishana na kuumia kisa TPA kua na 40fl