Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link
 
nilitegemea hicho kutoka kwako lazima ubwabwaje...kila mchezaji anaplay part yake si lazima wawe kama wanyama sijui waminofu....wapo wabongo kibao tu huyo waminofu ni mkimbizi tu

kwanza hata soccer lenyewe inaelekea haulifahamu wewe hata kudadavua hauwezi huyo player wenu hana mashiko kashapotea kwanza huwa hanivutii uchezaji wake niwskawaida sana hata mzee ojwani tukimuweka kwa ground inawezekana akampita r.i.p

eti wanyama ni wa aina gani sasa hii ama ni wanyama aina ya monkey...jina lake lenyewe halina explanation nzuri[emoji116]
 
Wachana na maneno ya density. Hio tuta argue kesho. Kwa sasa tuko kwa height ya buildings. By the way hata kama Dar ina density kubwa kushinda Nai, i don't care, congratulations for having high density with very short buildingsπŸ˜›πŸ˜›
 
Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link
unaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nimekwambia density is one of the main factor yaku determine development of a certain area na huo ndio ukweli yani upperhill bado sana mutafanya kazi sana
 
unabwabwaja sana...hebu nipe mchezaji yeyote yule wa kenya aliyewshi kunyakua tuzo kama hii halafu ndiyo tuendelee[emoji2]

acha upuuzi............[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahaha aty azam TV... My friend I can assure you 0% of Kenyans watch azam TV hata MIMI siijui
wewe ndiyo haujui na haujalazimishwa kujua ila kuna wakenya wanzako wanaijua

halafu unashangaza watu kama kitu haukijui kwanini unachangia changia hoja kuhusu azam tv siukae kimya tu ...punde kunapotokea hoja ya kitu unachokijua ndiyo uchangie
 
hehehe ndio mwisho wa akili yako sasa nieleze hzo big companies zimesaidia vp kupunguza ajira???ikiwa unenployment rate in kenya is 40%
naisitoshe nivioffice vidogo vodogo tu wenyewe wanaitabig compan
 
unaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Muwekee ile video ya ufunguzi wa jengo la TPA ambapo walikuwepo Magufuli na Joseph kabila, ambapo Magufuli alisema hili ndilo jengo refu kuliko yote katika ukanda huu wa east and central Africa, sasa kati ya rais wa nchi nw hizo video zisizojulikana sources zake, nani is more likely kuzungumza ukweli?
 
achana nae huyo bado anautoto kichwani mwake akikua atafahamu tu
 
Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nyie wakenya kweli ndimu leo wacha nicheke muundaaji wa hiyo video clip na
wewe wote ni machizi.....

wakenya mshaanza kuingia kwa video lab na kucreate video files kulingana na emotion zenu
 
mwenye macho haabiwi tazama liganisha hizi picha mbiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nenda mombasa na pwani nzima ya kenya kaulize azam tv watakwambia wenyewe kipindi natoka lungalunga nilikutana na kila nyumba juu kua dish ya azam tv nilifurahi sana

Kua na dish ya azam TV does not mean that you watch azam TV ,my friend style up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…