joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Muhimu ni kutafuta data zinazoonyesha faida za kutumia diesel vs electric trains katika kusafirisha mizigo, sio kutafuta nchi zipi zinazotumia diesel trains, kwasababu trains nyingi za diesel bado zipo, kwahiyo sio busara kutozitumia, wanachofanya wanaendelea kuzitumia lakini slowly wana phase out diesel engines.Unajua mimi napenda kuargue nikitumia reports na data. Nitakuletea evidence kwamba South Africa wanatumia diesel kusafirisha mizigo. Kwa upande wa U.S.A pia wao kuna baadhi ya train bado wanatumia diesel ingawa zingine zinatumia electric. Leo jioni nitapost na kukutag. Kwa sasa naenda darasani.
Cooked Outdated sources ndio hatupendi I dare you to Google poorest countries in Africa alafu share HIO linkHebu pitia hiyo list then urudi hapaView attachment 760056
Nairobi kuwa famous sio ishu kubwa kwa sababu kuwa maarufu kunategemeana na huo umaarufu wenyewe!!hotbed ya ugaidi afrika mashariki nzima ni Nairobi!wabaka mbuzi wapo Nairobi!njaa Kali ipo Nairobi!vurugu za siasa zipo Nairobi!wanawake wanaotafuta wanaume na mabango yao wapo Nairobi!wanaume wanaoana wenyewe kwa wenyewe wapo hapo Nairobi!n.k ujinga wote nilioutaja hapo juu huwezi kuukuta dar!!Nairobi ni maarufu kwa mambo ya hovyohovyo..we've always challenged you guys to post middle class zones in dar but up to this date mmeshindwa. .....I can give you a list of twenty middle class estates in Nairobi Kiambu and kajiado comfortably.I have more volumes of New estate photos only that one foolish jamii forum administrator has made it impossible for me to log in into the app and continue terrorizing your slum city of impenetrable dense fog of archaic shacks in what is infamously known as daresalaam. I recommend you to watch La Casa and hear the name Nairobi 1000 times......hahaha
Hakuna RELI INAYOTUMIA DIESEL WALA UMEME...bali kuna TRENI ZINAZOTUMIA DIESEL AU UMEME. Treni ya diesel inapita kwenye reli ya umeme au isio na umeme. Treni ya umeme ndio lazima ipite kwenye reli iliowezeshwa kuwa na umeme.Muhimu ni kutafuta data zinazoonyesha faida za kutumia diesel vs electric trains katika kusafirisha mizigo, sio kutafuta nchi zipi zinazotumia diesel trains, kwasababu trains nyingi za diesel bado zipo, kwahiyo sio busara kutozitumia, wanachofanya wanaendelea kuzitumia lakini slowly wana phase out diesel engines.
Electric locomotives zina high capacity, high speed, low maintance costs and durability ukilinganisha na diesel locomotives, hakuna nchi yoyote duniani ambayo kwa sasa hivi inafikiria lkujenga reli inayotumia diesel, ila zipo zilizojengwa miaka ya zamani ndizo ambazo zinaendelea kutumika, sio kwasababu ni bora kuliko electric, ila kwasababu hawawezi kuziacha kwasababu bado zinatumika na kuzibadilisha ni gharama sana.
Sijakuelewa kabisa, fuatilia mjadala wetu vizuri utaelewa tunachozungumza, tunazungumzia faida za electric trains vs diesel trains, soma paraghaph yangu ya kwanza utaelewa vizuri, then karibu tena kuchangia mada.Hakuna RELI INAYOTUMIA DIESEL WALA UMEME...bali kuna TRENI ZINAZOTUMIA DIESEL AU UMEME. Treni ya diesel inapita kwenye reli ya umeme au isio na umeme. Treni ya umeme ndio lazima ipite kwenye reli iliowezeshwa kuwa na umeme.
Sasa usije kushangaa TRL wakaleta baadhi ya treni za diesel zikapita humo humo kwenye sgr yetu ya umeme. Reli hio hio yetu ya umeme. Ndio maana waKenya wanasema wataifanya ya umeme baadae na treni aina zote mbili zitaweza kutumika.
Hii komesha. Wakenya wanaingia na kutoa chabo tu.mambo matamuπππππ
View attachment 760592 View attachment 760593 View attachment 760594 View attachment 760595 View attachment 760596 View attachment 760597 View attachment 760598 View attachment 760599 View attachment 760600 View attachment 760601 View attachment 760602 View attachment 760603
View attachment 760604
Nimeelewa vizuri, fanyia usahihisho post yako uliyoandika RELI INAYOTUMIA DIESEL.....treni ndio inatumia diesel au umeme.Sijakuelewa kabisa, fuatilia mjadala wetu vizuri utaelewa tunachozungumza, tunazungumzia faida za electric trains vs diesel trains, soma paraghaph yangu ya kwanza utaelewa vizuri, then karibu tena kuchangia mada.
Aisee, kama upo hapa kusahihisha vitu vidogo vidogo kama hivyo badala ya kusoma na kupata concept nzima ya kinachozungumziwa, ninakupongeza kwa hilo, na ninakutakia mafanikio katika kazi yako hiyo muhimu na kubwa sana.Nimeelewa vizuri, fanyia usahihisho post yako uliyoandika RELI INAYOTUMIA DIESEL.....treni ndio inatumia diesel au umeme.
Hayo ni maoni yako. Kuna wengine hawajui wanaona ulichoandika ni sawa, nawasaidia hao.Aisee, kama upo hapa kusahihisha vitu vidogo vidogo kama hivyo badala ya kusoma na kupata concept nzima ya kinachozungumziwa, ninakupongeza kwa hilo, na ninakutakia mafanikio katika kazi yako hiyo muhimu na kubwa sana.
Unawasaidia au unawapotosha, dunia yote wanatumia neno "Electrical railway", ie..angalia magazeti yote duniani yameandika "Tanzania to construct electric railway". Nitakuomba uzunguke dunia nzima uwasahihishe, ukifanikiwa ndiyo urudi kwangu, unategemea kuimaliza lini hiyo kazi ya kusahihisha dunia nzima?Hayo ni maoni yako. Kuna wengine hawajui wanaona ulichoandika ni sawa, nawasaidia hao.
so yenu ya abiria inatumia umeme???ππππππ mchina amewagonga vzr kabisa 4b usd msa to nai mlichoambulia ni station lakini train na reli mumeingia chaka tena chaka lenye gizaπππππJay amekueleza vizuri kwamba reli za mizigo kwa kawaida hutumia diesel. Hii ni kweli kwa nchi nyingi isipokuwa pengine za europe tu na nchi nyingine chache ndio zinatumia umeme. Hata South Africa na U.S.A bado wanatumia diesel kwa mizigo. Uko very under-exposed kwa mambo ya uchumi ya dunia, kama unadhani eti reli zote za mizigo ni za umeme kwa hivyo wachina wametugonga. Don't expose such ignorance here, give us space to breathe please.
kutumia diesel sio nchi zote ndugu ukiona mtu anatuamia umeme ujue anapunguza gharama za uendeshaji na efficiency pia sasa unataka kubishana na ukweli au??ππππUnajua mimi napenda kuargue nikitumia reports na data. Nitakuletea evidence kwamba South Africa wanatumia diesel kusafirisha mizigo. Kwa upande wa U.S.A pia wao kuna baadhi ya train bado wanatumia diesel ingawa zingine zinatumia electric. Leo jioni nitapost na kukutag. Kwa sasa naenda darasani.
kubadilisha matumizi bro ni gharama kubwa sana na wakenya washajua kua wamekosea sasa hawana budi kuendelea ili waweze kulipa deni ambalo litawagharimu miaka mingi sanaπππππHakuna RELI INAYOTUMIA DIESEL WALA UMEME...bali kuna TRENI ZINAZOTUMIA DIESEL AU UMEME. Treni ya diesel inapita kwenye reli ya umeme au isio na umeme. Treni ya umeme ndio lazima ipite kwenye reli iliowezeshwa kuwa na umeme.
Sasa usije kushangaa TRL wakaleta baadhi ya treni za diesel zikapita humo humo kwenye sgr yetu ya umeme. Reli hio hio yetu ya umeme. Ndio maana waKenya wanasema wataifanya ya umeme baadae na treni aina zote mbili zitaweza kutumika.
ukweli nikwamba tanzania haina treni za kujadiliwa! nimeona wazimu mwenzako joto la jiwe hapo juu kasema kwamba treni ya umeme ya tz inabeba tani 10,000 kwa wakati mmoja. hivi mnaishi dunia gani??kutumia diesel sio nchi zote ndugu ukiona mtu anatuamia umeme ujue anapunguza gharama za uendeshaji na efficiency pia sasa unataka kubishana na ukweli au??ππππ
kwani we ulitaka ibebe tons ngap na hio 10000 tons ni yakuanzia wataongeza kulingana na matumizi yatakavoongezekaukweli nikwamba tanzania haina treni za kujadiliwa! nimeona wazimu mwenzako joto la jiwe hapo juu kasema kwamba treni ya umeme ya tz inabeba tani 10,000 kwa wakati mmoja. hivi mnaishi dunia gani??
Usiwe unaleta point za kitoto, mbona sisi wote ni watu wazima. Watu wenye akili huwa project inakamilika katika planning stage, haiwezekani upange kujenga uwanja wa ndege wenye capacity ya watu elfu 10 wakati uwanja unajengwa ukiulizwa capacity ya uwanja ujibu kwamba hujui kwasababu haujakamilika.ukweli nikwamba tanzania haina treni za kujadiliwa! nimeona wazimu mwenzako joto la jiwe hapo juu kasema kwamba treni ya umeme ya tz inabeba tani 10,000 kwa wakati mmoja. hivi mnaishi dunia gani??
sasa wewe mbona unakua kama mtoto mchanga, yani tujenge SGR alaf tusionganishe na port wakat ile ya zaman imeunganishwa na port vp uko timamu akilinipovu isiwatoke bure wenzangu. deep down mnajua whatever you are claiming is nonsense. nionyeshe kwenye planning stage connection ya 'sgr-tz' to your port na supporting infrastructure kwenye port. hivi vitu sio maneno tu!
Akili ndogo haziwezi kushindana na akili kubwa, tunaungumzia capacity ya SGR ya Tanzania vs Kenya, habari ya connection to our port haina uhusiano wowote na hii discussion, actually our plann ni kwamba hakutokuwa na connection kati ya SGR na port, badala yake tutatumia watu kubeba containers vichwani mwao kutoka bandarini hadi kwenye SGR, kwa kufanya hivyo tunategemea kutengeneza ajira takriban milioni 20.povu isiwatoke bure wenzangu. deep down mnajua whatever you are claiming is nonsense. nionyeshe kwenye planning stage connection ya 'sgr-tz' to your port na supporting infrastructure kwenye port. hivi vitu sio maneno tu!