Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,595
http://observer.ug/news/headlines/57532-port-bell-to-kampala-rail-line-due-to-re-open.htmlna bado kweli si uongoNa badoπππ
Huyu Mwasiti ana landalanda Kenya nzima kutuletea pichaππ Dar inamnyima usingizi. Mwambie atuonyeshe BRT Onlyπππkama sio nairobi umepost ili iweje ππππ au unawashwa wataka kukunwa
sasa hizo nazo slums??we unazijua slums wewe??hizo ni nyumba za kawaida ila mabati kweli yana kutu lakini kuna nyumba Kali tu huwezi kufananisha na mabanda ya kibera...whoever said kibera is the largest slum should have his head checked!
Hapa kazi !
Watakwambia Nairobi is city in the Sun. Sijui ngine zipo mwezini ?? ππ Tutailabisha kundu hadi inyooke.
sasa hvi wanapambana na floods πππHuyu Mwasiti ana landalanda Kenya nzima kutuletea pichaππ Dar inamnyima usingizi. Mwambie atuonyeshe BRT Onlyπππ
na mvua hii kibera hakukaliki..April 24, 2018
Mafuriko ya makubwa jijini Nairobi, Kenya
Magari yalisomba na maji ya mafuriko katika eneo la Ruai huku mamia ya watu wakiathirika pakubwa katika mitaa ya jiji la Nairobi kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mamia ya watu wameacha bila makao huku maporomoko ya ardhi yakitatiza usafiri katika barabara za kaunti ya Murangβa.
Source: Kenya CitizenTV
Hapa kazi tu ! ππwakenya endeleeni kulia tu tusaanza kusambaza mabomba ya gas jana kuelekea majumbani
wengi wamefungua vyoo vyao kukwepa gharama za kuja kunyonyaππππna mvua hii kibera hakukaliki..
Hawajui kati ya slum na unplanned settlementπππsasa hizo nazo slums??we unazijua slums wewe??hizo ni nyumba za kawaida ila mabati kweli yana kutu lakini kuna nyumba Kali tu huwezi kufananisha na mabanda ya kibera...
And still not use sub standard dar port πππ
Reli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa πππ Port of kisumu kupata kazi zaidiππππ
Hii watakuwa wamekosea,si wenyewe wanasema mji wao umepimwa na miundo mbinu iko vizuri..?
hatuna haja nawewe kutumia ila tutakufundisha kwenye kuchukua watejaπππππAnd still not use sub standard dar port πππ
Nairobi nzima inanuka kinyesi cha Kiberaπππwengi wamefungua vyoo vyao kukwepa gharama za kuja kunyonyaππππ
hehehe port ya kisumu iko wapi ndio hiiπππReli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa πππ Port of kisumu kupata kazi zaidiππππ
Kisumu mna meli yakubeba mabehewa ya reli ??Reli ya kampala kuelekea port bell kufunguliwa πππ Port of kisumu kupata kazi zaidiππππ