Asante kwa kuniletea video ya kuchimbaπππππHuko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbiππππππUtalia sana hatuna jinsiπππ
Ujenzi wa SGR ulipofikia by Marchπππ
Asante kwa kuniletea video ya kuchimbaπππππHuko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbiππππππ
Sawa Chokoraa Bottas tumekuelewaππAsante kwa kuniletea video ya kuchimbaπππππHuko kwetu vijijini bararabara za murram zinachimbwa kila siku na vijana wa youth service Ukinionyesha picha tu moja ya reli ndio nitakuchukulia serious ila kwa sasa naona tu mitaro ya vumbiππππππ
Project ilianza 2014 ikiisha hapo ndio tulisecure funding after chama cha jubilee kuingia na ikifikia dec 2017 reli ilikua ishaa anza kazi.....huu mradi nmeufuata skyscrapercity tangu uanze sijui unasema ninivile unaniona mm mjinga sana ππππ
422km from nairobi to mombasa mumejenga kwa 3.5yrs na ushahidi naeza kukuletea fala wewe
na ukumbuke tunajenga phase mbili kwa pamoja 722km kenge wewe
View attachment 755751
mwambie akuletea hzo barabara zinazochimbwa yani ukitoka nje ya nairobi unaweza kusema umeenda somalia kumbe uko kenyaππππSawa Chokoraa Bottas tumekuelewaππ
wewe ujinga hauwezi kukutoka kamweπππProject ilianza 2014 ikiisha hapo ndio tulisecure funding after chama cha jubilee kuingia na ikifikia dec 2017 reli ilikua ishaa anza kazi.....huu mradi nmeufuata skyscrapercity tangu uanze sijui unasema nini
Hiki kipande kilikuwa pilot jakaya kikwete akiweke jiwe la msingi 2014 ndio dikteta akaingia akatupa mchina nje,. .....sasa mbona hiyo picha haina poles za stima juu reli yenyu sasa ivi ni ya stima, mimi nimekaa skyscrapercity sana hauwezi nidaganyaππππ
Na juu umeanza matusi naona hasira inakupanda wacha nikuache wewe.Sawa Chokoraa Bottas tumekuelewaππ
ndio akili yako inavokutuma ??ππ ujenzi wa SGR umeanza kwa magufuli kiboko ya wakenyaHiki kipande kilikuwa pilot jakaya kikwete akiweke jiwe la msingi 2014 ndio dikteta akaingia akatupa mchina nje,. .....sasa mbona hiyo picha haina poles za stima juu reli yenyu sasa ivi ni ya stima, mimi nimekaa skyscrapercity sana hauwezi nidaganyaππππ
Nairobi yenyewe barabara ni kichefuchefuπππ Check out @mulonzijoelβs Tweet:mwambie akuletea hzo barabara zinazochimbwa yani ukitoka nje ya nairobi unaweza kusema umeenda somalia kumbe uko kenyaππππ
Mbona una panic.?? Huu mchezo hauitaji hasiraππNa juu umeanza matusi naona hasira inakupanda wacha nikuache wewe.
Sawa.ndio akili yako inavokutuma ??ππ ujenzi wa SGR umeanza kwa magufuli kiboko ya wakenya
alaf mchina hajajenga hii SGR mpya wala usitafute maneno ya kanga kisa umekalia kuti kavu
nguzo za umeme ni kazi ya mwisho kabisa hehe
πππ hamuna raha wakenya usingizi hamupati
Si hasira ila Mimi siwezi jadili na mtu akianza utoto ya matusi.Mbona una panic.?? Huu mchezo hauitaji hasiraππ