Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna mpuuzi mmoja alikua anahoji kuhusu Airbus A380 kama inaweza kutua kwenye runway ya JNIA
hehehhe anajifanya engineer kumbe mpiga rangi
sasa ndio hio imetua
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Si kwa ubaya lakini mbona mnaiita hapa cbd maghorofa tano alafu nyuma pamezungukwa na mabada? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nioneshe mabanda naona huna upuuzi zaidi ya huoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€au ndio ukomo wa upuuzi wako
 
nchi inafanya mega projects bila mikopo
viva magufuli kaza babaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Someone had started this thread and it was continuing well until a moderator by the name geza deleted the thread...Nairobi walker had already made a list as per your updates and he will continue with that Job....Mr moderator tuwachie raha yetu mzae .
 
nchi inafanya mega projects bila mikopo
viva magufuli kaza babaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Leta picha tu moja ya hiyo reli other wise ccm ni walewaleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Leta picha tu moja ya hiyo reli other wise ccm ni walewaleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
u talk as if mulijenga reli kwa miezi sita πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani munahaha kweli tanzania kujenga reli hehe
wasiwssi waki ikiwa ushaambia first phase 2019 november and second phase 2020 to dodoma
 
u talk as if mulijenga reli kwa miezi sita πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani munahaha kweli tanzania kujenga reli hehe
wasiwssi waki ikiwa ushaambia first phase 2019 november and second phase 2020 to dodoma
Distance ya 400kms tulijenga na miaka mbili na nunusu mbona nyinyi dist ya 150kms dar moro mjenge na miaka mbili? Ingekuwa kenya tungejenga na miezi 12πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…