Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Listen, mkimaliza huo mradi, anzeni kutuuzia gas, Tutanunua. Nisilojua Ni Kwamba sijui kwanini unaona hatuna raha Uchumi wenu ukiendelea. I can't help you hapo.
sio tuanze kuwauzia sisi ndio tunawauzia gas mpaka sasa hvi tunavoongea hata baada yakupiga marufuku haikuzaa matunda kwasababu gas munahitaji sana,
sisi tutawaletea bomba kabisa ili mtupe pesa za kigeni kwa wingi tuwapunguzie chukiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wakenya mna roho mbaya sana na chuki,
Believe you did your research and you have a conclusion. Hakuna shida kuitwa mwenye roho mbaya Wala kuwa na chuki. If any of these affect your economy I guess you should be concerned and if not then sioni haja ya nyinyi kusumbuliwa na wakenya. Waacheni na taabu zao.
 
Lita, ita huu wimbo mtaacha liniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Okey
 
Two brothers of Dar-es-Salaam, Tanzania
Tanzania for a 3 part series featuring Somali entrepreneurs changing Africa! We'll meet two brothers, a chef, wealthy real estate investor & the lady running tourism in Kilimanjaro with 8 hotels she owns!
In this episode, meet two successful brothers who rebuilt their lives in Tanzania after the Somali civil war!
Source : INTERGRATIONTV
 
Bottas maisha yake ni tricky sana. Yeye namvua nikama samaki na maji. Hii season ndipo inatengeneza pesa mob.πŸ˜€πŸ˜€ Namuona yule Bottas anakimbia makarao wasimshikeπŸ˜€πŸ˜€View attachment 755376
Hehe mimi mkaaji wa karen uwezi nipata uswazini pilka zangu ni uptown ... ..Kodi yangu ya nyumba mwezi moja inakulipia kodi yako karikoo miaka mbiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…