Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Hoyee. Tanzania ni kama maji. Usipo yanywa utayaoga.
 
international language??? ndo maana nakuambia hujitambui jombaa wamekuaminisha kuwa English ni lugha ya kimataifa na wewe umekariri hivyo..
huku bongo hatushobokei hizo takataka kama French,English n.k huwa tunazitumia kama kukiwa na ulazima sana..
ktk afrika nyie wakenya bado mmetawaliwa ila hamjui tu!!nyie mnachonga ngenga tu hapo kibera.↙↙
 
Nairobi a world class city, the only city in EA and CA region with BURGER KING restaurants. Nairobi imejaa international products and services ambavyo huwezi pata Dar.

Haha sio kweli burger izo hata chalinze zipo
 
Leta picha itakayo onyesha izo 37floors alafu ntatoka kwa i thread *****, tpa 35 mnasema 40,mzizima 33,35 mnasema 37 ,mnf 30 mnasema 32 yaani kila jengo lazima muongezee floors.
Haha acha kutulisha maneno...btw nmependa ulivyoweza kukariri nyumba za Dar yaonekana zimekuingia vilivyo
 
nachaajabu hata english yenyewe hawaijui vizuri...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…