- Ice hockey + Ice rinkView attachment 753581View attachment 753582
Ice rink ipo Dar.Ice skating rink
Hilo tinajua darislum hawana
My bad...Ice rink ipo Dar.
Achanga aibu manWana weka headquartersππ
1. Azam heaquarter
2. Mo headquarter
3. Kleensoft headquarter
5. Jambo headquarter
6. Sayona headquarter
7. Lake Oil headquarter
5.CRDB headquarter
Etc
Things that are in Dar but not in Nairobi are BRT and Cable bridge. Nairobi has slums while the great Dar doesnt have any.
Please do not include nature here like ocean or national parks.
Kwasasa tumeweka mipango kabambe ya kutuma wanamichezo wengi wa aina nyingi kwa 2022 Olympics ikiwemo kufuzu kwa timu ya Ice hockeyDah! Sikujua kama Wakenya mnacheza na hockey mchezo ambao unachezwa kipindi cha baridi katika baadhi ya nchi za Ulaya na North America.
naomba unioneshe lane 10 iko wapi labda hujui barabara ya lane 10 inavokaaππππ
wewe unajua 10 lanes inavofanana???ππUnajua kuhesabu leni kweli?
ndio munavodanganya watu hvoπππHihihihi.....
Barabara za ndani ni za kama unaenda moja kwa moja, barabara ya nje ni kama hautaki kuingia kwa barabara kuu, lakini ukitaka unaeza kutumia ya nje, kutoka mwanzo hadimwisho
ukipata 12 lanes kenya nzima nitagπππUpdated list
1. BRT
2. Cable Stayed Bridge
3. Toll road
Nairobi
1. UN Agency Headquarters
2. 12 lane highway
3. Uber helicopter
4. 3D Printer
5. LED lit buildings
6. Functional SGR
7. Rail Tunnel
8. Road tunnel
Watu wasingelala njaa bas kama kuna mzunguko wa helaNairobi kuna viwanda dar es salaam road Mara 10 ya pugu road dar es salaam
Nairobi ni old city ila umepangiliwa na kupangika despite of kibera slums
Nairobi hakuna waswahili na wajinga kama dar es salaam
Nairobi kuna 4 to 3 ways lane from thika road through JKIA to Moi kasarani all the way to town center
Nairobi hakuna wajinga kama dar es salaam
Nairobi kuna bidhaa zote zinapatikana na mzunguko mkubwa wa pesa kuliko dar es salaam
Mengine watamalizia wachangiaji wengine
πππππππππππππππππππππ±ππππππππππππππππππππππππππthe tower looks like watchtower signaling ships over horizon
Mimi ndiye statistician hapa......mkitaja nacompile Na kutoa results.
So far:-
Dar
1. BRT
2. Cable Stayed Bridge
3. Toll road
Nairobi
1. UN Agency Headquarters
2. 12 lane highway
3. Uber helicopter
4. 3D Printer
5. LED lit buildings
6. Functional SGR