Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DMDP DAR-ES-SALAAM TANZANIA
The Dar es Salaam Metropolitan Development Project for Tanzania is to improve urban services and institutional capacity in the Dar es Salaam metropolitan area, and to facilitate potential emergency response. The project comprises of four components. The priority roads - local and feeder roads in the urban core to alleviate congestion hotspots, and support public transit, mobility, and connectivity...
Source : Millard Ayo
 
wachane
 
Sasa hili nahilo lenyu "mordern and biggest in eastafrica"tofauti iko wapi ispokuwa sisi hatusifii letu?
Hiyo tent unaweza sifia.?? Mwizi akija na wembe anaweza iba kilakitu. Turubali kweli ?? Hilo hata nguruwe awezi ishi. Tutawakuta wote nje. Miguna Miguna aliitaji kuwa na wembe tu kutoloka kwenye hiyo terminal.
Haipingiki kuwa yakwetu ni most modern in East Africa.
Show me any terminal with a Travelator in East Africa !
 
Azam ni tv ya mtanzania so sijui unaongelea nini wewe zuzu

aisee wakati naangalia harusi ya alikiba,nimeona mitaa ya mombasa,kule ameenda kuchukua mkewe[emoji28][emoji28][emoji28].

my friend sikupenda kucheka,but it really pain ni kubovu.kuchafu.embu shemeji yetu aje aishi uzunguni huku ajaze shavu.
 
aisee wakati naangalia harusi ya alikiba,nimeona mitaa ya mombasa,kule ameenda kuchukua mkewe[emoji28][emoji28][emoji28].

my friend sikupenda kucheka,but it really pain ni kubovu.kuchafu.embu shemeji yetu aje aishi uzunguni huku ajaze shavu.
maisha yao hawa ukiwaona nje huwez kudhania sehemu wanazoishi😀😀😀 yani wananuka umaskini muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…