Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
leta mmoja aliyezama maji Nairobi kwanza kisha tuzungumze...yaani 14 wote wanafia jijini...sasa kule mashambani si wataangamia wote na mileso yaoπππbtw, RIP to all the victimsna hawa je????
View attachment 748936
sikuletei mmoja nakuletea 15 broleta mmoja aliyezama maji Nairobi kwanza kisha tuzungumze...yaani 14 wote wanafia jijini...sasa kule mashambani si wataangamia wote na mileso yaoπππbtw, RIP to all the victims
I pity ur motherππππ
So hapo Avic zimefika mwisho ?? Mbona mlitwambia wanaongezea floors kwenye zote to 40 floors kwenye zote. Naona talest haijafika 40 floorsavic residentials topped out...sasa ni hotel na office towers 176m, 141m..tallest in East Africa ukitoa Britam ambayo ina mlingoti mrefu kana kwamba eiifel tower
sorry bro futa machozi plzππππI pity ur motherππππ
residentials ndizo zime top out....hotel na office bado...majengo yapo sita ambazo height ndizo hizi 176m, 141m, 93m, 86m, 83m, 81mSo hapo Avic zimefika mwisho ?? Mbona mlitwambia wanaongezea floors kwenye zote to 40 floors kwenye zote. Naona talest haijafika 40 floors
Mlitwambia zote zitakuwa over 40 floors leo mnabadili lugha. My take nikuwa wamefika mwisho. How can you have a ceremony for one tower ??residentials ndizo zime top out....hotel na office bado...
Mwasiti hii kitu huwa hataki kuona.
Fanya post kwenye thread ya Tanzania SGR
nani alikwambia zote ni over 40 floors? look at this oneπππumeskia wapi building ya kukodisha wapangaji (apartments) imefika 40 floors east africa ? ...maybe pinnacle tu...itakayofika 45 floors ni office tower...picha ndio hii wacha kukurupuka...niambie wewe unaona majengo ngapi ya over 40 floors hapoMlitwambia zote zitakuwa over 40 floors leo mnabadili lugha. My take nikuwa wamefika mwisho. How can you have a ceremony for one tower ??
watakwambia wanajenga kwa phasesππππMlitwambia zote zitakuwa over 40 floors leo mnabadili lugha. My take nikuwa wamefika mwisho. How can you have a ceremony for one tower ??
hebu tuoneshe hio iliofika 40floors??ππnani alikwambia zote ni over 40 floors? look at this oneπππumeskia wapi building ya kukodisha wapangaji (apartments) imefika 40 floors east africa ? ...maybe pinnacle tu...itakayofika 45 floors ni office tower...picha ndio hii wacha kukurupuka...niambie wewe unaona majengo ngapi ya over 40 floors hapo
Asante kwa kuniletea googleearth sasa nataka aerialview kama hii hapaππππππππππππππππ
Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe rendersnani alikwambia zote ni over 40 floors? look at this oneπππumeskia wapi building ya kukodisha wapangaji (apartments) imefika 40 floors east africa ? ...maybe pinnacle tu...itakayofika 45 floors ni office tower...picha ndio hii wacha kukurupuka...niambie wewe unaona majengo ngapi ya over 40 floors hapo