Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana mko down man..ports mingi na cargo kidogo north tz I.e arusha hutumia Mombasa port
 
Ilismama kwa muda na sasa inaendelea kma lamu port ilivosmama hamuna pesa hhahhaahahaha mbona hilo hulijui sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
enough with these lies...unajiabisha sasa
 
Ndio maana mko down man..ports mingi na cargo kidogo north tz I.e arusha hutumia Mombasa port
Hio ndio mawazo ya akili yako dar from arusha 600km mombasa to arusha 900km alaf watumie mombasa hata akili ya kuazaliwa pia huna hehehhe
 
enough with these lies...unajiabisha sasa
Hahahhahahhahaaha tafuteni kwanza 2 trillion ksh mukomboe lamu port huku bado munaomba msaada wa chakula huku bado msaada wa budget hahaahhaahahhah kazi munayo mwaka wenu huuuuuuuu
 
Ndio maana mko down man..ports mingi na cargo kidogo north tz I.e arusha hutumia Mombasa port
Angalia mwaka gani huo au nikuoneshe hio link ya mwaka gani sema nikuoneshe hahahaha unaficha mwaka wa nini sasa munajifanya wajanja sana hahahhahahah
Ndio maana mko down man..ports mingi na cargo kidogo north tz I.e arusha hutumia Mombasa port
Kwanza angalia hio link ya mwaka gani mbona unaficha mwaka haahahhahaha au nikuoneshe hio link ya mwaka gani hahahhahahahha acheni ujanja wa kipuuuzi hio ilikua 2014 Leo 2017 hahahahaaha kazi munayo sana mwaka huuu
 
Hii ni ya 2016 ebu google GDP yenu ya 2016 ni $48b
 
Mnadani mkidevelop Kenya inalala economy ya Kenya imekua ikigrow pia msee
 
Usipende kuforce sana mambo umeona changes za 2014 mpaka 2017 hehhehheheh kazi munayo nakwambieni
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

2017 my friend haturudi nyuma miaka inakwenda mbele kazi munayo sana mwaka huuu mpaka soko LA miraa liliyumba hahahhaa mukaekeza 3 million USD kwenye miraa ndio ujue hali ilivo mbaya sasaοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na bado soko la miraa limeyumba mpaka leo hahhahahaha
 
Usipende kuforce sana mambo umeona changes za 2014 mpaka 2017 hehhehheheh kazi munayo nakwambieni
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

View attachment 490433
Usipende kuforce sana mambo umeona changes za 2014 mpaka 2017 hehhehheheh kazi munayo nakwambieni
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

View attachment 490433

Huko IMF
Tanzania mambo mazuri

http://www.imf.org/external/datamapper/NGDP_RPCH@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD/AFQ/TZA
 
Kila mmoja anakimbilia port of dar as salaam amekuja Ethiopia na Rwanda na Burundi pia hahahhahaahaha wote wanarudi nyumbani maana hapa ndio nyumbaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa 2016 unataka ikue 100b USD ama..unafaa kuzikwa msee.
 
Mnadani mkidevelop Kenya inalala economy ya Kenya imekua ikigrow pia msee
Njaa imetawala munaomba msaada dunia, soko la miraa limeyumba, budget inataka msaada was billion 600 ksh heheheheh Kenya aiways bado ina run loss hahahahhaa mwaka huuu munao
 
Sasa 2016 unataka ikue 100b USD ama..unafaa kuzikwa msee.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kila kitu kimekataa hahahaa wazee kazi munayo yani Tanzania kuzuia mahindi na mchele kwenda Kenya ndio mumeyumba hvo daaaaaaah hahhahahahhahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Njaa imetawala munaomba msaada dunia, soko la miraa limeyumba, budget inataka msaada was billion 600 ksh heheheheh Kenya aiways bado ina run loss hahahahhaa mwaka huuu munao
Ata ujui mnasoma budget ndogo na budget deficit yenu ni kubwa...we ni k*ma
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kila kitu kimekataa hahahaa wazee kazi munayo yani Tanzania kuzuia mahindi na mchele kwenda Kenya ndio mumeyumba hvo daaaaaaah hahhahahahhahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
You import more staff in Kenya than export iyo google hiyo na urudi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…