Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisa kaonekana kwenye hoteli ya kifakhari hakuna east and central africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±
sawa nialikeni kwenye party ya uzinduzi wa ukuta..tushawazoea.nyie hata lift mnazindua
 
i'm called kadoda11, jizeee la 60s,the one man army.
this time around i'm taking down all kenyans single-handedly.

hahahaha i love this mind game thing.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nashangazwa na tabia zako sana we jamaa umri hauendani na tabia kabisa
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
whre is that old man? skuizi naona amekoma kwnda Twitter na youtube kutafta comments za wakenya

nikipost huwa mnalia na kuomba msamaha... nisipo post huwa mnauliza kwanini sipost.

wahenga husema mtoto akililia wembe mpe auchezee.

tuanze na hizi screenshot za ukora unaofanyika kila siku hapo nairobi. remember unemployment=ukora.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Manina jengo la gorofa kumi na lime topout ndio unalinganisha na cbk pension ,ulitisha picha nikakuletea wacha hadithi mingi
 
Manina jengo la gorofa kumi na lime topout ndio unalinganisha na cbk pension ,ulitisha picha nikakuletea wacha hadithi mingi
gorofa 10 hehe aliekwambia nani au ulijua hapo mwisho heheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we unataka kufananisha speed of develepment kati ya nai na dar hvi dar utaiweza kweli??
 



Bwege ni mamako, University hujafika kwani ni siri?,,,,,Ambia huyo ajuza aendelee kupost fake posts from fake IDs bila shaka yupo hapa kufurahisha wapumbavu wenzake kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…