Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nikikwambia mtz ni mtu anayeongozwa na ubaradhuli wa kiakili usinilaumu...angalia project wanazoimba imba hapa ukuta na vyuma vitatu
bora jamaa kaonesha ubabe wakunua ndege 7 cash nioneshe ndege moja tu ya kq amabyao kenya imenunua cash ukipata nitag plZπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mm ndio nimesema ukuta umejengwa na picha nikaweka 25km cha kuskitisha kenyatta alisema atajenga ukuta mpaka wa somalia uko wapi nioneshe tofali moja tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ukuta unashangiliwa LDC tu...not middle income world
 
ukuta huo kwanza ulishatupiliwa mbali baada ya viongozi toka pande mbili kuzungumza kuhusu insexurity nashangaa hujapata habari jinsi unapenda kuenda citizen, KTN na NTV News
heheh alitupilia mbali hana pesa ya kujengaπŸ˜€πŸ˜€
sasa aliongea akiwa ndotoni au alijua kujenga ukuta nikama kuvuta msubaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
heheh alitupilia mbali hana pesa ya kujengaπŸ˜€πŸ˜€
sasa aliongea akiwa ndotoni au alijua kujenga ukuta nikama kuvuta msubaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
kwanza ni jambo nzuri hilo sababu hio ilikuwa kutupa hela tu...ukuta wa border nzima unge cost pesa kiasi gani? wacha tujitume katika mambo ya msingi
 
jizee la 1960s limejituma kutafta fake posts kisha analeta hapa mind you, huyu ni babu wa watu
 
kwanza ni jambo nzuri hilo sababu hio ilikuwa kutupa hela tu...ukuta wa border nzima unge cost pesa kiasi gani? wacha tujitume katika mambo ya msingi
sasa alipoingea alijua ni kuchuma pesa nyie msizuge hamuna pesa ya kujenga ukutaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hanuna pesa ya kutumiza ndoto ya budget ya ukuta mtakua nayo
 
sasa alipoingea alijua ni kuchuma pesa nyie msizuge hamuna pesa ya kujenga ukutaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hanuna pesa ya kutumiza ndoto ya budget ya ukuta mtakua nayo
ok hatuna hela nenda ka pop champagne kwa sababu ya ukuta wa tanzanite sasa
 
I was fool with low IQ for reasoning and fall with a trap of old man who has big capacity to reason beyond of my reasoning.

Plz hebu jaribu kueleza vizuri. Je umelewa mimi huwa sijui kizungu hebu nieleze maana yake kwa kiswahili.
 
jizee la 1960s limejituma kutafta fake posts kisha analeta hapa mind you, huyu ni babu wa watu
kisa kaonekana kwenye hoteli ya kifakhari hakuna east and central africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜±
 
whre is that old man? skuizi naona amekoma kwnda Twitter na youtube kutafta comments za wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…