Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hatari sana kwa vijana wa Mombasa. Kumbe shoga hilo!!?
 
yaani wewe umeongea ukweli.....hapa hakukimbiliki ila ipo siku utakuwa mdogo
hakuna bana...Tz projects zenu tunazijua na hamna hata moja inayoshtua mkenya...hii ni ukilinganisha na projects zeztu ambazo zinawashtua mpaka waafrika kusini na wanaija
 
wacheni mambo za sijui shoga...kwani mnamtamani? can we stick to the thread
 
yani matatu 15 passengers iingize 12,000 ksh wewe unatudanganya sisi mchana kweupe kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
14 seater hesabu yake ya juu kwa siku huwa 6k, hizo anazoongelea yeye ni 26 seater na zaidi
 
progress ya jengo linalowapa watu tumbo joto ...piling inafanywa na kampuni ya Franki Africa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…