Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2020 kuna nini?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€yaani mko funny sana...sisi 2020 ndio tunamaliza jengo ndefu barani ...tunafikisha sgr kampala...tuna montave, avic wote wanamalizia 2020...isitoshe, uchumi utakuwa umefika 100 Billion mwaka wa 2020...sasa nyie mna nini? ndege au?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hizi ndio ndoto tunazotaka tuzione humu...no need ya mtu kuleta umama kwenye mambo yamsingi...
2020 iyo pinnacle bado mtakua mnachimba msingi[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
where is montave and pinnacle???๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
gari moshi itafika uganda kweli????
 
Hizi ndio ndoto tunazotaka tuzione humu...no need ya mtu kuleta umama kwenye mambo yamsingi...
2020 iyo pinnacle bado mtakua mnachimba msingi[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
sawa si tutaona kwani 2020 ni mbali mambo ya kuimba imba ati 2020 mtatupiku kumbe mnakimbiza upepo tu...100 Billion dollars economy by 2020...pinnacle and montave...tazama taswira...maumivu yanakubaliwa
 
ndege za bombadier zilizopo canada ndio wanatuambia zitafika 2020 watu wanafikiria vile watakavo fululiza ndege mpaka New York bila kusimama wengine wanawaza jinsi ndege 6 zitakapofika
 
this is nairobi 2020...nyote mnakaribishwa kama wakimbizi...njooni mapply citizenship middle income..$100 Billion GDP
 
hapana siwezi umia... wewe jisikie huru tu kuendelea na tabia yako ya *******-nyaji.

usenge-nyaji ni hobby yako.[emoji23] [emoji23]
haya mbona wakurupuka bas? mi nadhani mtu akisengenywa huwa hajali...ila wewe unafatilia sana comments lakini usjali bro hakuna aliyekutaja sasa sijui mbona walia lia
 
avic hio itakavokua usiku wa manane....176 metres...tallest in East Africa.. mlilia lia sana kuwa Britam ina mlingoti mrefu sasa huu hauna mlingoti na ni 176 m, 141m sijui mtatokomea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ