Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ulikuwa unanizungumzia mimi cos i'm the only guy in this thread whom kenyans claim i'm in 60s.

but mimi hata sijari. napenda sana vile mnavyonitaja. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]




Hapa kuna wakongwe wengi tu mbona ujishuku ilihali haujatajwa,ama alichokisema ni ukweli?.
 
na kweli kenya hakuna matata
 
Acha kua mpunga dear.Roga Roga ni kipindi ambacho kinacheza miziki kutoka mataifa yote ya Africa ,usione wimbo wa Tanzania ukichezwa ukaleta povu hapa.
asante kwa kuwapaisha zaidi wasanii wetu kenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hatuna muda wa kisasi ,tunafanya mambo yetu tu.Si unajua masikini akikuibia we tajiri utamuibia nini? unamuacha tu na kusema acha huyo masikini ajisort na hio .
hamuna uwezo wa kisasi tena mumeshaona maji shingoniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…