Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo ni mlango wa marikiti market na sio karibu na cbd
dont quote that guy...you are just wasting ur time...kwa akili yake, hapo ni Nairobi CBD karibu na Times Towers na KICCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
 
kila mtu na style yake...sasa ulitaka wavae kama wewe au?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini hiyo ya githeri imenimaliza banaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€usinichekeshe hivo tena bana
Hahaa.. kweli kila mtu ana style yake ila nyinyi oversize coats mnazipenda sana, i guess ata wewe unazo kabatini kwako [emoji1]
 
Hahaa.. kweli kila mtu ana style yake ila nyinyi oversize coats mnazipenda sana, i guess ata wewe unazo kabatini kwako [emoji1]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kiukweli, hata mie huwa nashangaa hizi makoti huwa wanazipendea nini ila asante kwa kunichekesha kiasi hichoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€umenivunja mbavu
 
WaTanzania wacheni kujidanganya au kwa kuwa ni WaDanganyika mnapende kujidanganya. Yaani ukifananisha Nairobi na Dsm ni sawa unataka kufananisha Punda(Dsm) na Farasi (Nairobi) Yaani ni tofauti kabisa kabisa Dar hakuna kitu ubishooo tu halafu mafala hela hawana utapeli mtupu na kisomo ndio bure mijinga hayakusoma kabsaa si tunaona hata ile mutu yao [emoji481][emoji357][emoji357][emoji357]. Iko tupu inaogopa hata kusafiri inang'ang'ana hapo hapo hata mugeni akija haiendi kwa airport. Dsm ni shida hakuna kitu tajiri yao kubwa ni ile MO au Bakresa ndio nasaidia saidi wao
 
mbona unajishuku ...sikumtaja yeyote mie
ulikuwa unanizungumzia mimi cos i'm the only guy in this thread whom kenyans claim i'm in 60s.

but mimi hata sijari. napenda sana vile mnavyonitaja. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hongera sana umenifurahisha sana ati ile mutu yao . sijui kama kuna mtu ameelewa hapa padlock na beer emoji
 
Nonsense
 
ulikuwa unanizungumzia mimi cos i'm the only guy in this thread whom kenyans claim i'm in 60s.

but mimi hata sijari. napenda sana vile mnavyonitaja. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtu anapoharibu hewa wa kwanza kunyosha mkono ndio mshukiwa ...hio inaitwa kujishuku
 
Jibu kwa hoja hiyo povu ya nini? Dsm kama punda tuuu hakuna kitu huwezi fananisha na Farasi. Wewe nenda kaone sio kutazama picha tuu. Jamaaa wako standard nyingine kabisa. Kwa petrol station (huku mnaita sheli hata hamjui eti sheli =petrol station wakati Kenya ipo na hiyo Shell yenyewe kabsaaa oroginal) zipo standard ya Europe kabisa kila kitu ipo hapo kwa "sheli"
 
Nonsense!
 
We nyumbu English hujui kiswahili hujui
Halafu hawa ndio mnajiita ukawa kujenga hoja zero rudi MMU
 
We nyumbu English hujui kiswahili hujui
Halafu hawa ndio mnajiita ukawa kujenga hoja zero rudi MMU
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa "sheli" na sikulaumu kwa kuandika "nonsense" kwa vile wewe ni wa Dar ndio neno kubwaa unalojua kwa hiyo lugha njooni nairobi muone shell original sio hizi za waarabu wenu oilcom ati nayo ni sheli,cameloil eti ni sheli sijui GBP mara lakeoil yaani waarabu wamewapakata kiuchumi. Kweli hivi hamjui SHELL ni nini mpaka vituo vya mafuta vinaitea sheli. Hata hiyo [emoji357][emoji357][emoji357]yenu pia inata hizo vituo ya mafuta sheli ni mkubea bwanaaa yeye pia hajui
 
Hili jamaa sijui limejifunza leo kiswahili
Mbna lugha ngumu sana kwako
Na english hujui
Sa sijui we ni mjaluo wa uko kenya vijijin kabisa
 
Yaani kichwani unawaza sheli? ulitafuta kazi huko ukakosa naona unakuja kuwaponda hapa smh!
 
dont quote that guy...you are just wasting ur time...kwa akili yake, hapo ni Nairobi CBD karibu na Times Towers na KICCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
uahahah jipu limetumbuka sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nonsense povu mubasharaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…