Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna data muhimu hapa za middle class
kwanza tumalize unakimbia wapi umesema CBD ya dar haina mpangilio sasa hawa wakina mama wanaotandika biashara zao chini ndan ya CBD unalizungumziaje?? huo ndio mpangilioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na wewe ni Ajuza unayemshambulia Mzee mwenzako
pole sana mimi bado kijana fresh...huwezi ukaniona nakimbilia youtub mara twitter ku piga search" tanzania" ilhali mie mkenya ...wazee wenu akili hawana kabisa...mtu anafaa awe sasa hivi anapiga hesabu jinsi atavowaachia watoto uridhi anapambana na wakenya YouTube
 
ukisikia "usenge-nyaji" ndio huu.[emoji23] [emoji23]
 
deal with issues please. yaonekana unavutiwa sana na wanaume mashababi wenye umri mkubwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama english inasababisha tupitwe na mengi basi tunaopitwa ni wengi Nenda china au german,spain n.k
 
Hivi kwanini mnapenda kuva ma koti makubwaaaa!! Au mnabeba githeri kwenye mifuko ya koti [emoji1] [emoji1] [emoji1]
kila mtu na style yake...sasa ulitaka wavae kama wewe au?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lakini hiyo ya githeri imenimaliza banaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€usinichekeshe hivo tena bana
 
Kama english inasababisha tupitwe na mengi basi tunaopitwa ni wengi Nenda china au german,spain n.k
unataka kunafanisha kiswahili na hizi lugha....spanish, german na chinese zinazungumza na watu zaidi wewe bana mbona unareason kama mtoi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€chinese pekee ina 1 billion speakers...spanish ina more than 500 million speakers..sasa kiswahili inazungumzwa EA pekee yake unataka kuniambia mtafanya biashara nje ya ukanda huu kivipi kama jaji anazungumza kiingereza cha mtoto wa nursery..ama mtaandika translators kila uchao??πŸ˜€...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…