Tatizo hawa jamaa wanacopy na kupaste liftstyle za wazunguSio kila ndoo ni ya maji, mbona hujasema wamebeba rangi, Hao akina mama ni wajasiriamali wanatoka kuchukua samaki feri na Hapo wanaelekea kituo cha Bus cha stesheni nyuma ya hayo Majengo.
Mswahili ni mtu mwenye kiwango kikubwa cha umilisi wa lugha ya Kiswahili. Vile vile ni mtu ambaye amefungamana sana na mila na desturi za jamii ya watu watumiayo lugha ya Kiswahili. Kwa hiyo ukiniita mimi Msukuma halafu ninakidhi hivyo vigezo basi mimi moja kwa moja ni Mswahili.Hivi wewe Msukuma tangu lini ukawa Mswahili? Hivi unawajua Waswahili ni akina nani wewe?
Siyo kila abebaye begi ni msafiri, vile vile siyo kila abebaye ndoo kichwani ametoka kuteka maji.So waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kule
atalala wapi we unafkiri mchezo 4b usd msa to nairobi alf munaletewa reli na treni za miak 100 iliopita yani ushuzi mtupu dunia inakwenda mbele wao wanarudi 100yrs backHahaha this is soothing na ninasikia mkopo wa reli waliwekea Mombasa port kama bond na mpaka time hii SGR from Mombasa to Nairobi ni hopeless no cargo is ferried through the line
Wafanyabiashara wamekomaa na malori hakuna mtu anataka kupakia mzigo kwenye SGR due to fast killing prices nasikia wachina watajinyakulia Mombasa port very soon ili wachume deni lao mapema hahaha mambo ni moto huko Harambee house nasikia Uhuru halali yupo kama bundi
kwasababu sio lugha ya taifaπππkwani uongo bro? ππππnyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibishaπππ
ni wakenyaπππππHivi wewe Msukuma tangu lini ukawa Mswahili? Hivi unawajua Waswahili ni akina nani wewe?
Nairobi has the dangerous&largest slams on continent .lol......wametuzidi nyumba za matope maybe......if you travel across Tanzania hizo ndio 90% za makao
hujawah ona nn wakat matoroli ya kuuza maji yanaingia mpaka city center mombasa au nikuletee ushahidi hapaππππSo waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kule
hio haikosekani rushwa kwao ni lazma sio ombina hapa lazima Ruto na wenzake wawe wamepiga cha juu (corruption)
ni vizuri kuchanuka kidogo bro...kiingereza kwa sasa ndio lgha ya dunia..sasa nyie mkijikwamua tu na lugha moja mtafanya biashara kivipi? sio kwamba tunakienzi kiingereza kuliko lugha zetu ila ukweli wa mambo ni kuwa kiingereza ndio lgha ya kimataifa katika karne hii...ndio maana mnapitwa na mabmo mengi sana...hivi haujajua mpaka wachina wameanza kujifunza kiingereza?Ni uwongo.............
Halafu mbona english ni lugha yakawaida sana lakini chaajabu huko kwenu mnaisujudu
I hadithi yote umetoa kwa ******"?we niwakuhurumiwaHahaha this is soothing na ninasikia mkopo wa reli waliwekea Mombasa port kama bond na mpaka time hii SGR from Mombasa to Nairobi ni hopeless no cargo is ferried through the line
Wafanyabiashara wamekomaa na malori hakuna mtu anataka kupakia mzigo kwenye SGR due to fast killing prices nasikia wachina watajinyakulia Mombasa port very soon ili wachume deni lao mapema hahaha mambo ni moto huko Harambee house nasikia Uhuru halali yupo kama bundi
mwache huyo huwa hatumii akili...itakua anatumia makalioI hadithi yote umetoa kwa Makalio"?we niwakuhurumiwa
Acha kutumia nguvu kubwa kwenye ujingaCBD ya Dar utawapata hata watu waliovaa towel wanaenda kuoga..wengine wanauza mtura na samaki pale sokoni..wengine wanapiga stor vijiweni...wengine wana miswaki mdomoni..hii yote inatendeka hapo hapo CBD karibu na PSPF na TPA ambapo utawapata waliovaa suti wanafanya official work...sasa unashindwa hii ni CBD au ghetto?πππwamechanganyikiwa hakuna hata mpangilio...CBD ikona takataka aina yote..
anapoteza energy kwenye upuuzi siku hzi sijui amekuaje hakua hvo huko nyumaππππAcha kutumia nguvu kubwa kwenye ujinga
hahaha mambo bro...lakini mnieleze tu hii CBD yenu mbona haina mpangilio? hivi ushawahi kuskia uptown na downtown? nawaona akina mama na maleso yao huku wamebeba mitungi kichwa ni wapo CBD etπππ duh!πππ wameenda kuchota maji kule au?Acha kutumia nguvu kubwa kwenye ujinga
Poa, yep nmesikia...unataka kutuambia nn Leo...hahaha mambo bro...lakini mnieleze tu hii CBD yenu mbona haina mpangilio? hivi ushawahi kuskia uptown na downtown?
swali langu ni mbona CBD yenu haina mpangilio...Poa, yep nmesikia...unataka kutuambia nn Leo...