Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are used to you dumbasses always thinking you are the smartest people on earth. But as they say dumb people are the one who always think they are the smartest. Misifa tu ndio mmekalia.
 
We are used to you dumbasses always thinking you are the smartest people on earth. But as they say dumb people are the one who always think they are the smartest. Misifa tu ndio mmekalia.
hao usisumbuke nao wanaumia sana kuona leo tz inafanya wonders within short time of period na mm nakwambia by 2019 mwakani hutaona mkenya hata mmoja humu ndaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hujiona wao wako mbali kumbe wamerudi nyuma
 
Najua anachotafuta ndio maana ana-attack personality yangu lakini mimi na-spot mtu insecure from a mile away. Wanatapa kuona TanzaniaTunawapita kila idara. Walikuwa wanaringia jkia, haya tumeipiga chini hawaamini.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Najua anachotafuta ndio maana ana-attack personality yangu lakini mimi na-spot mtu insecure from a mile away. Wanatapa kuona TanzaniaTainawapita kila idara.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kila sector kwao ni mwiba yani sector waliobakiza inapumua ni moja tu bandari zilizobaki zote ziko ICU zinapumulia mashineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hio kitu inaisha mwaka huu bro ni mwiba mkubwa sana kwa wakenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Najua sema napigia na miradi ya barabara, reli na viwanja vingine maana tz sidhani kama kuna mkoa ambao hauna project ya kitaifa inayoendelea
 
Najua sema napigia na miradi ya barabara, reli na viwanja vingine maana tz sidhani kama kuna mkoa ambao hauna project ya kitaifa inayoendelea
SGR dar to moro 2019
the modern electric train in africa
 
hehe...wanajenga sie tumekuwa tukitumia hii yetu kana kwamba ni choo...tumeshazoea...kule kwao hii ndio wanaita maendeleo wanashabikia na kupop champagneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ vitu vya kawaida vinawapa kiwewe...enyewe LDC ni LDC tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wanashabikia airport utadhani ni ya kwanza dunianiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mi nakwambia airport yet ya town ndogo kama isiolo au malindi ni bora kuliko hii kitu mnashabikia kana kwamba sijui mnaishi msituni...kwani airport terminal ndo nini bana?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€train station ya nairobi na mombasa tu ni bora kuliko hizi airport mnaimba hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Give us the traffic numbers to this white elephant built by tenderprenures
 
train station ya Nairobi tu inawatia aibu in terms of infrastructure na hata arrivals...airport haijafika hata arrivals mil 2 mtu anaimba imba hapa wakati joburg ina handle mil 20...JKIA ina handle mil 8...addis ababa ina handle mill 9...Cairo mil 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…