Ndio zao hawa kwani siwajui ashaambiwa urban city lakin akili yake haikubali hawa ndio walivo kwan siwajui hawaHahahaha... Anataka kulazimisha kupita njia ya mkato japo ina miba mingi na vilipuzi vya alshabab vilivo chimbiwa chini.
Dadadadadadadaaaaaaaaaaa
Syo fair jameniiii
Watu wengine wanaishi vzuri apo Nairobi huku wengine wanaishi hivyo asee dhambi sanaa
Dar hakuna sehemu ya ivo, no.
Siku zote hua nawaambia uchumi wa Kenya 75% umeshikwa na wageni na ukitaka kujua angalia makambuni yote ya Kenya mpka mashirika ya kiserekali eg kenya aiways inamilikiwa na watu wa nje wageni kwa asilimia 79% wamiliki ni watu wanjee yani wageni ....
Achana nao hawa bado wanaakili za neo colonialism......... We imagine tanzania mashirika yote ya serekali yanamilikiwa na serekali kwa 100% na makampuni aslimia 80 yanamilikiwa na watanzania wenyewe alaf unataka kushindana na bongo ya 2017 hehehhheheAjabu anakuja mmoja anajiona wajuu full misifa!!
Wazazi wake wanaishi ki mbwa nguruwe miaka 50+!!
Zunguka dar kwi kuna watu hali tete lakini si kwa makazi hayo ya Nairobi.
Nairobi kupata hata kijisehemu cha kuweka choo ni mtihani
lazima ukalipoti ukoo wa kenyatta!!
Ardh yoote wakenya hawana chao
wapo kama Wapangaji ndani ya nchi yao!!
Mamilionea ni wageni sio wenyeji sasa ndio tatizo linapokuja hapo wanakuja kuchuma na kuondoka watu wanabaki masikini wakutupaMtu mwenye akili timamu hawezi kuona jambo la kawaida
Mimi huwa nawaambia hawa
kuna watu wanaishi KUZIMU nairobi na si Duniani!!
.Mateso kama hayo
mijitu imejimilikisha Ardh na mali ya nchi
full ufisadi!!
Linakuja lijinga limoja oh
Nairobi ina milionea wengi !!
hao milionea wanamsaidia nini Mama yako?
Don't be happy about that... There's a flyover in my upcountry home..so....Sio ya kwanza inayojengwa sasa niya tatu na zote za kikubwa hahahaha tens ubungo interchange itakua ya kipekee east and central Africa aaahahahah
Hayo ni mabanda ya kenya nairobi sehemu inaitwa isilii section 3 mi nimenimekaa sana. Eneo hiloWakenya mtuletee video za dar
zikionyesha Mabanda na maisha kama hayo
labda mimi sijaitembea vizuri dar
maana nimeishi dar miaka 17 sasa
sijawai kuona vijumba vyakufugia Nguruwe akiishi mwanadamu no no no
Wakenya mtuletee video za dar
zikionyesha Mabanda na maisha kama hayo
labda mimi sijaitembea vizuri dar
maana nimeishi dar miaka 17 sasa
sijawai kuona vijumba vyakufugia Nguruwe akiishi mwanadamu no no no
Kwikwikwikwi. Yaani nakushangaa sana wewe dogo. Digital TV kubwa EA and Central Africa unajua kuwa inapatikana Tanzania. Inaitwa AZAM TV. Sasa hivi Decoder zinauzwa huko kwenu.I
Your people lack the resources and know how on how to shoot such videos...no wonder they don't exist
I
Your people lack the resources and know how on how to shoot such videos...no wonder they don't exist
Know your placeSiku zote hua nawaambia uchumi wa Kenya 75% umeshikwa na wageni na ukitaka kujua angalia makambuni yote ya Kenya mpka mashirika ya kiserekali eg kenya aiways inamilikiwa na watu wa nje wageni kwa asilimia 79% wamiliki ni watu wanjee yani wageni ....
Kwikwikwikwi. Yaani nakushangaa sana wewe dogo. Digital TV kubwa EA and Central Africa unajua kuwa inapatikana Tanzania. Inaitwa AZAM TV. Sasa hivi Decoder zinauzwa huko kwenu.
AzamTV
View attachment 490382
Why?
Njoo na Id yako yaukweli ukweli
nikujibu kulingana na historia yako humu JF
Hizi Id mpya mpyaWhy?
Do you want to write my biography?
Zina kuja Id mpya hahahaKwikwikwikwi ukivimba upasuke. Yaani wewe huiwezi Dar es salaam. Vijana wa Mathare mpo. Kwikwikwikwi.