Ule boy mzii Wa nairobi
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 164
- 37
wivu wenu naelwa hamtokubali kamwe kuwa mkia
sasa nakupa za darNairobae five star hotels,,,,,
1 Villa Rosa kempinski
2 Fairmont Norfolk
3sarova Stanley
4.Tribe hotel
5hemingways
6dusit 2 hotel
7radisson blu
8safari park
ndio ukweli nishakupa kama nimekuonea leta ushahidi hapa nasubiria😀😀😀😀wivu wenu naelwa hamtokubali kamwe kuwa mkia
Hujui chochote unaongeaongea ujinga na ufala tuKwa upande wa lifestyle naona dar ina movie cinemas 6 pekee ilhali nrb ina 27 what a shame alaf mwajifananisha na nrb shenziiiiiiii
hotel ya mkoloni....hebu itazame sura ilivyokaa
pia aweke pichatutajie 5star hotel moja baada ya moja in nairobi nakusubiria 😀😀😀😀
The 7 Best Luxury Nairobi Hotels | Five Star Alliancetutajie 5star hotel moja baada ya moja in nairobi nakusubiria 😀😀😀😀
The 7 Best Luxury Nairobi Hotels | Five Star Alliancetutajie 5star hotel moja baada ya moja in nairobi nakusubiria 😀😀😀😀
luxury hotel or 5star hotel????😀😀😀
Kama huwezi tumia akili, macho umepewa ya bure kuona vitu. Kando ya majina za hizo hoteli kumewekwa nyota kuonyesha their star rating, na zote ziko na five stars. Au wewe unaelewa nini kuhusu mahoteli kupewa star rating? Secondly, the name of that website ni "Five "Star Alliance" kumaanisha kazi yao kubwa ni kudeal na moheali with five-star ratingluxury hotel or 5star hotel????😀😀😀
which is which????
maana unaniletea mpaka amboseli hotel kwan iko nairobi????😛😛😛😛
Toa hizo mbili ambazo haziko Nairobi uone zitabaki ngapi. mbona vitu rahisi tu mnapenda kusumbua?luxury hotel or 5star hotel????😀😀😀
which is which????
maana unaniletea mpaka amboseli hotel kwan iko nairobi????😛😛😛😛
unaniletea fairmount mount kenya kwan iko nairobi????
so take 7-2 = 5 ndio unatunisha misuli kwa dar😀
wakat dar pekee ina over 10 5star hotels
Can you prove your claims by backing up this with credible source(s)sasa nakupa za dar
1. kilimajaro hyatt regency hotel
2. serena hotel
3. seacliff hotel
4. double tree hotel
5. ramada encore hotel
6. ramada resort
7. golden tulip
8. best western hotel
9. amverton bay view
kwa leo zinakutosha
5 zinabaki dar pekee ina over 10 5* hotel hehe alaf unataka kutunisha misuli kwa dar😀😀😀😀😀Toa hizo mbili ambazo haziko Nairobi uone zitabaki ngapi. mbona vitu rahisi tu mnapenda kusumbua?
ingia google everythig is there utapata kila kitu wala usijal 😀😀😀😀😀Can you prove your claims by backing up this with credible source(s)
Another source giving even more hotelsluxury hotel or 5star hotel????😀😀😀
which is which????
maana unaniletea mpaka amboseli hotel kwan iko nairobi????😛😛😛😛
unaniletea fairmount mount kenya kwan iko nairobi????
so take 7-2 = 5 ndio unatunisha misuli kwa dar😀
wakat dar pekee ina over 10 5star hotels
Kawaida yako ukibanwa kwenye kona na kukosa kitu ya kusema baada ya kukosa njia ya kujitetea. Endelea kusumbuka kaka ila number utasoma kabisaingia google everythig is there utapata kila kitu wala usijal 😀😀😀😀😀
hizi umekombine four star 3 star na 1 starsasa nakupa za dar
1. kilimajaro hyatt regency hotel
2. serena hotel
3. seacliff hotel
4. double tree hotel
5. ramada encore hotel
6. ramada resort
7. golden tulip
8. best western hotel
9. amverton bay view
kwa leo zinakutosha