Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Kama unanata data yenye uhakika nenda skyscrapercity africa kuna thread ambayo iko list of 20+ floors ambazo zimejengwa ama u/c za kila city ya africa, hapo ndio utapata data sahihi. Alafu uzuri wa skyscrapercity una backup claims zako na creadible source kwaivo hakuna uzalendo wa kijinga kama vile mnavosema tpa na mzizima ni 40flrs ilhali ni 36,35respectivelyNipe figure zako zenye uhakika mzalendo wa kijanja
2019 labda duka la mangi 