Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuulize...times tower sihua mnasema2ni flr 38 vp Leo Imekua 34???
Britam mnara 40m nayo mnasema ni ndefu [emoji3][emoji3]
I $M flr 18 tu mita 100 mnara una mita ngap?? Tatizo Hamna nyumba ndefu mnamasihara mengi
na ni 30 flr only sio 38fl😀😀😀😀
 
Bila kudanganya na minara dar iko na mayumba mingi kuliko nairobi britam bila mnara ni 136m,uap 143m,prisim134.....
good yani kwa kifupu density ilioko dar hata mkachukua nairobi +kisumu + msa hamuwezi kufikia density ya dar mm napenda tuwe wakweli na wawazi😀😀😀
 
Im just being real bro, i wish they could have done away with that britam spire or make it short like uap. ....otherwise the only hope that we have is pinnacle, avic and montave hope they topout soon. . .
Haha ww ni mkenya?wakenya hua ni wabishi sana Au umewah ishi Tz. ..wenzako watatumia nguvu kulinda minara ili nyumba ionekane ni ndefu hua wanaleta notes apa utashangaa
 
ambazo ni big renders😀😀😀😀
 
Wewe ni kama unaabudu huyu jamaa. Am very sure unajua hadi wakati anaenda choo
Kama nyie mnavyo muabudu cheusi mangara aka dudu la kuuma (lupita nyong'o) ,hadi siku zake za mwezini mnazijua
 
Haha ww ni mkenya?wakenya hua ni wabishi sana Au umewah ishi Tz. ..wenzako watatumia nguvu kulinda minara ili nyumba ionekane ni ndefu hua wanaleta notes apa utashangaa
Nyie mnatumie floors....ushamba iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…