Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

baada ya rwanda kukubali kujiunga na tanzania kwenye SGR sasa burundi hao
 
nawaona wanavyoiruka hii post[emoji23][emoji23] kama hawajaiona vile... dah[emoji23][emoji23][emoji38]
wanairuka ila ujumbe umewaingia ndani ndani kabisa.

niliwahi kusema siku za nyuma na leo narudia tena, kenya haina msanii mwenye vitegauchumi vikubwa kulinganisha na vitegauchumi vya diamond platnumz.

wasanii wao wenyewe wanaishia kufanya tour kwa counties unatemea nini?... [emoji23] [emoji23]
 
huyu jamaa sio mchezo anazindua kinyerezi 2 na kinyerezi 3 ujenzi ushaanzaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
So mtapanda from 1350 megawatts to 1600 megawatts by 2025? Hahahaha always behind Kenya.
 
mashine imeshaingia tayar
So mtapanda from 1350 megawatts to 1600 megawatts by 2025? Hahahaha always behind Kenya.
1750+ 240 jibu utalipata πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
alaf hapo hapo kinyerezi 3 400mw ujenzi ushaanza
 
tumeshawarudishie mtu wenu baada ya kula kisago kitakatifuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So mtapanda from 1350 megawatts to 1600 megawatts by 2025? Hahahaha always behind Kenya.
Wewe usijidanganye umeme tunaozalisha sisi hizo megawatts hamjawahi kuuzifikia na hamtakaa zifikia hata iweje
 
Nime itaja outering kwa sababu ajali ni nyingi sana.. kama wangeweka bus stages ata kama security facilities hazija isha bado ajali zinge pungua sana. Sasa Ma3 zina simama any how because hamna stages. Mpaka kufika July siku mchina ata wakabizi barabara hamna stages zitakazo jengwa zaidi ya kuweka lights na road signs basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…