Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona pinaccle haijaletwa Dar? Sijategemea swali la kijinga kama ilo kutoka kwako. ..ile si nyumba tu tofauti na nyumba zingine ni height..
Boom ya nyumba Dar imeshawazidi kwa sasa tunajenga interchange flyovers expressway nakuboresha road Za mitaa. ..
The fact that mko na nonesense interchange and pathetic flyovers haitabadili kitu...
Btw muhimu ni kutimiza sio kuongea tu..
Swali dogo nikuulize je. ..do you have any 5*hotel up to 30flr count??mnanyumba yyte ya hotel yenye 30flr?MNF Is on the way get ready
 
I like that response though why not?3rd world countries can't help themselves aaah
Hiki ni kichekesho cha karne, sijui wakenya huwa akili zao zimekaa eneo gani ya mwili, nchi ambayo hata chakula inaomba kusaidiwa, heti inaweza kusaidia nchi zingine kweli?. Wakenya ni vichaa sana, nchi kama Angola ambayo GDP ni kubwa kuliko ya nchi zote za East Africa combined wala hawahitaji, eti wanataja Kenya nchi inayofilisika.
 
Wengi wao hawana kazi na wako happy
 
developed of what???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ahead of what???
usitake kusema tumewaonea kuhusu kiberaπŸ˜›πŸ˜›
 
zikwapi pinnacle na montave??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…