Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nairobi kufkia density ya dar itawachukua miaka 100 mbele😀😀😀😀 density ya kariakoo pekee chukua msa+kisumu+eldoret+kericho+upuuzi wote uliobakia hamufkii hata ukucha wa kariakoo
 
Tumia akili wewe jamaa
Naweza kupiga picha nyumba yng ikaonekana ndefu kuliko TPA ambayo ni 40flr
Apo ni distance
Apo UHURU HEIGHTS iko karibu na mpiga picha ukilinganisha na MNF
Hadithi bla bla na tpa ni 36flrs wala sio 40 kichaa wewe
 
Iyo picha ni zaman. ..angalia picha za sasa iyo nyumba bado inaendelea kwenda juu, tower B apo Ni flr 33 na tayar iko topped off...ufala mlizaliwa nao
Na ngoja picha latest kaka na kama kutakua na gap ya more than 3floors nitatoka jamii forum, mimi si mbishi wa kijinga dar cbd kwa sasa imeiweza nairobi labda tungoje miaka ijayo hadi kina pinnacle na avic zikamilike,east africa majengo yote marefu yako dar pta, pspf, ppf, mzizima
 
asante kwa kukubali ukweli kua dar CBD imeiweza nairobi tunataka watu kama nyie😀😀😀😀
mwaswast IamLee LightYagami
 
Bro hapo ni 10+ km away from CBD, don't expose your Highest levels of Ignorance
 
Hadithi bla bla na tpa ni 36flrs wala sio 40 kichaa wewe
Hapo sasa watakuvamia kama nyuki....I remember we had this duscussion late last year and they insisted TPA has 40 floors wakati ambapo even the official TPA website says it's 36 floors. Hawa watu ni vilaza wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…