Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

what building is that? na is it really 40 floors, I doubt
This guy ako na feelings sana. I told him that avic will be 43 if at all the upgrade won't happen and he tells me "iko wapi?" then says it's at 15 floors wakati it's past the 20th floor at the moment. Hiyo building ameonyesha hapo juu is 38 floors maximum. it has a funny name; Kakakuona or something if am not wrong
 
Hivi humo abiria wana kaa ata zaidi dakika 20 kweli au kuna wengine wana kua on transit kama kwenye ndege? Mchina amewazingua sana, ametia nguvu kwenye vituo kuliko kwenye rail na trains
hehe mchina sio mtu mzuri alichokifanya kajenga stations nzuri lakini reli na train zenyewe zimetoka beijing museum πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ reli yenyewe ni bolt joint yani full vibration ikienda kasi
 
nimekwambia ppf hq sahivi iko over 40fl, mzizima iko over 40 fl πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nioneshe just 15 fl ya avic am waiting kwann unalia sanaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
hio mzizima towersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sahivi iko over 40fl
na bado inakwenda tu
 
kakuona ikwapi??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So majina ya Kiafrika unaona ni funny ila ya kizungu yako poa.? Acha ulimbukeni be proud of your roots
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…