Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

arusha kama kericho...tu.it's just highly publicized juu ya east African legislative assembly
 
.
Takwimu za idadi ya ndege sizifahamu kwasababu mnadai wamiliki "hawajulikani" (anonymous). Lakini dondoo za mjini ni kuwa baadhi ya viongozi wenu "walafi", walitumia ushawishi wao kuilazimisha KQ kutumia ndege walizozikodi huku wakitoza rates za juu kwa kampuni ili wapate faida kubwa. Sasa kampuni iko hoi bin taaban kwenye ICU.

Ndiyo matatizo hayo ya kujifanya mabepari kuliko mabepari wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…