kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Jo'burg level nyingine bana... Hebu acha kufananisha uchafu wenu huo na mji wa makaburu uleNairobi should now take on Joburg
View attachment 721987View attachment 721988View attachment 721989View attachment 721990
Umempa dozi kubwa sana.
Weka hiyo kitongoji duni top left cornerTop left corner
ππππ anastahili bro bora apewe apumzikeUmempa dozi kubwa sana.
Good morning my brother from failed stateDar filtered street view
Dar unfiltered aerial view of the same place
Wakenya wote mlio JF mnaeza mkajichanga na msiweze kununua plot hapoWeka hiyo kitongoji duni top left corner
Jibu swali, acha kujitetea Kericho watu hata kuitumia hawawezi, wakati Bongo zipo hadi kwenye wilayaTell me kama escalator iko Tz.
Nimetafuta online hata Dar haina.. huku ipo kila corner
Sasa usichoelewa nini? Hapo panaitwa Victoria, hio ni Tanhouse HQ za ACASIA, kabla ya hio kuna HQ za Vodafone. Baada ya hio TanHouse kuna NHC Complex,next ipo Tanzanite Plaza......all those are modern developments oldest is TanHouse the rest less than 2yrs old.Weka hiyo kitongoji duni top left corner
Weka hiyo kitongoji duni top left corner
Kuna mama mmoja kauza kiwanja chake(nasema kiwanaj kwasababu kulikuwa na nyumba zile za mkoloni) maeneo hayo $6m mwaka juzi.Wakenya wote mlio JF mnaeza mkajichanga na msiweze kununua plot hapo
Kenya ranked as 'failed state'
Where is my beloved Tanzania?
Hawa ndiyo kazi yao, hawana kitu chochote cha kuizidi Tanzania, kazi yao ni kutafuta picha za nje nzuri na kujipa wao, na zile mbaya kuipa Tanzania, hawa ni failed state, aibu sanaProve this is KENYA. ππππππππππππ Yaani hadi Gazeti lenu limedanganya . That is Trenton Air force base in CANADA. mkiwa na midege hiyo KDF unitag.
trenton airforce base - Recherche Google:
You are just stupid[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo maushuzi ya Githeri yana watoka
tv room with neon lightstanga cinema hall
uhahahah tanga babyππππππtv room with neon lights
Mbn hapa Elmatador haja quote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mall in moshi tanzania
Hata sisi tunazo sinema room za kisasatv room with neon lights
Dawa yenu najua vyema....Tanzania hiyo ndio maendeleo si barabara ama ubora wa makaziMbn hapa Elmatador haja quote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kua serious, Kisumu,eldoret,Nakuru, Mombasa kunazoKericho imepata mbele ya Eldo, ksm na Msa.. Hizo bla bla peleka studio ukatoe single
[emoji23][emoji23] kwahiyo hayo sio maendeleo?? Ulaya wenyewe wanaona ni maendeleo sasa wewe wa 4th world unaanzaje kushindanaDawa yenu najua vyema....Tanzania hiyo ndio maendeleo si barabara ama ubora wa makazi