Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hv zile ofisi za ilala kwa wandakarasi njia rahis ya kufika ni wapi ukitokea tegeta
Panda Daladala mpaka Morocco then chukua Mwendokasi mpaka Gerezani-Kariakoo

Ukifika Gerezani fanya kama unarudi nyuma ulikotoka kuna mtaa unaitwa Lindi Street upande wako wa kushoto kutokea kituoni whereas there are shops for spare parts za magari na vipuli, also utaipita shule ya Al-Haramain

Nyoosha hiyo street moja kwa moja utakutan na kijunction kidogo ambapo ni junction ya Lindi/Shaurimoyo Street

Utakunja kushoto kuifuata hio barabara then utakutana na reli ukivuka tuu hiyo reli utaona ofisi zao
Utaona pia shughuli za ujenzi (wa SGR) zikiendelea
 
haiana noma asante kwa maelekezo
 
lol.....illusionist pedestrian reasoning
 
source ni joto la jiwe.. .........hahaha .kwa reality Kenya has you beaten in everything mkatae mkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…